Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
veepeee,pole sana,acheni uzwazwa mnaiharibu nchi na lichama lenu la hovyo.hii ni karne ya 21 ndugu.hatuko kuleHizi ID ndo zilifunguliwa siku mwenyekiti anezindua operesheni Kata funua...keep up the good job
Tusishangae ya musa, bado ya firauni maana watanzania ugumu wa maisha tulionao ni shabaha na malengo ya ccm ili waendelee kuturawala. Leo umeme juu kisa IPTL january inakuja tusubiri mfumuko wa bei hasa kwa mazao ya chakula. Hakuna haja ya kulalamika tuendelee kuisoma namba, hapa kazi tu.
Upuuzi tu wapelekee wapuuzi wenzakoTusishangae ya musa, bado ya firauni maana watanzania ugumu wa maisha tulionao ni shabaha na malengo ya ccm ili waendelee kuturawala. Leo umeme juu kisa IPTL january inakuja tusubiri mfumuko wa bei hasa kwa mazao ya chakula. Hakuna haja ya kulalamika tuendelee kuisoma namba, hapa kazi tu.