Kwaiyo allein ni human created living organism.hamna hio kitu,hakuna allien,hizi propaganda za alliens zimezaliwa baada ya kuambiwa kuwa tunaishi katika infinity universe ambapo kuna matrillions ya star kama jua,na zillions za dunia kama yetu, alliens wamepandikizwa kwenye akili zetu ili kupigilia misumari aidia ya kuwa tunaishi kwenye planet iliyoko ndani ya universe mfumo ambao tumejengewa tuuamini
Kwaiyo allein ni human created living organism.
Lhamna hio kitu,hakuna allien,hizi propaganda za alliens zimezaliwa baada ya kuambiwa kuwa tunaishi katika infinity universe ambapo kuna matrillions ya star kama jua,na zillions za dunia kama yetu, alliens wamepandikizwa kwenye akili zetu ili kupigilia misumari aidia ya kuwa tunaishi kwenye planet iliyoko ndani ya universe mfumo ambao tumejengewa tuuamini,wakati uhalisi ni kuwa kila kitu ni uongo
Unaamini katika Mungu.?alliens,infinity universe,dunia kama planet inayoelea angani,binadamu kutokana na kima, hivi vitu vimepandikizwa na vina-exist kwenye akili zetu tu,uhalisi upo taauti kabisa