OLD WORLD ORDER
Ili uweze kuwa na kipya ni lazima kitu cha zamani kife. Lazima mfumo wa zamani wote ufe. Lakini kunakuwa na ugumu sana maana huo mfumo umekuwa na mizizi tena mirefu sana ni vigumu kuondoa doctrine za watu wa dini walizojifunza kwenye vichwa vyao.
Maana hii OWO imejificha katika misingi ya kidini ili kufaidisha wachache. Msingi wa NWO unataka kuwafaidisha watu wote. Kuwa na kitu kimoja kwa ajili ya wote. kama kutumia pesa kutumia pesa ya aina moja kwa manufaa ya watu wote. Kwa sababu sisi wote ni watu na tunaishi kwenye sayari moja ni lazima tufanye kitu kwa pamoja kwa manufaa ya sis.
OWO inawagawa watu katika matabaka na kuonekana kuna watu wa aina fulani na wengine wa aina fulani. Hii tu ilitokana na watu wachache wanaojua siri kutunga na kuhakikisha watu wote ulimwenguni wanafuata hicho na kupumbazwa wasijue vitu. "
Education is Power"
Kwa mfano POP ni mtu mkubwa sana duniani zaidi hata ya raisi wa nchi fulani. Lakini je Pop ni kiongozi wa duini wa watu wote au kiongozi wa dhehebu fulani la kikristo? Hiyo yote ni kwa sababu ya OWO ambayo inawafanya watu kuabudu wanadamu wenzao pasipo kujielewa.
Nachelea kusema hivyo kwa sababu nimewahi kuwa kwenye dini na kuajaribu kuuliza maswali ambayo ni muhimu sana niyafahamu na matakeo yake unaambiwa ni "
fumbo la IMANI" Je fumbo la imani ndio nini sasa kwanini kuwe na fumbo?. Watu hawa walitengeneza system ambayo lazima iweze kujicotrol yenyewe pasipo weneyewe kuwepo na kufanya watu wasiwe nauwezo wa kuhoji na kulidhika.
Walijua kabisa watu wa duniani ni wazembe kufanya utafiti na kwahiyo ukiwafumba kwenye msingi wa mungu hachunguziki watakaa kimya na kufuatakila wanachoambia pasipo kutumia ubongo wao. Ni wakati wa kukaa na kutafakari kwa usahihi pasipo kulubuniwa na mtu ni kwa akili ya mtu binafsi kuamua na kujua ukweli ni nini?
Kwa mfano. Tukiongelea ukristo ambaye mwanzilishi wake ni Yesu kristo umekuwa tofauti ukilinganisha na msingi wa mwenye aliye anzisha. Kwa kifupi wakristo sio wafuasi wa Yesu bali ni wafuasi wa Paul ukiangalia kabisa hakuna hata dhehebu moja linalofuata maelezo ya Yesu. Halafu tena hebu angalia Je wandishi wa agano jipya ni akina nani hao.
Matthew, Mark, Luke, John, Paul, James, Peter, Jude watu wanane na wengi wao waliandika maneno ya Yesu kwa kusimuliwa tu.
Yule mkusanyaji wa vitabu vya kwenye Biblia hakuwa makini kwa maana imekuwa ikijichanganya yenyewe. Huku wafuasi wake wakiwa hawataki kuona hayo makosa yaliyofanywa na huyu mwandishi. Kusema kweli ni uwongo mtu ni kwa ajiri ya kukamilisha matakwa yao waliyokuwa wanayataka.
Kwanini sasa wamisionary wawendio walikuwa wanafanya ukoloni kwetu na kutunyanyasa? Na huku wanaeneza neno la Mungu mwema?
Hii yote ilikuwa ni kukamilisha matakwa yao wenyewe. Sas imefika wakati wa kujikomboa sisi wanadamu dunia nzima tuwe huru kutoka kwenye mikono ya watu hawa wachache waliotulisha sumu na kutupumbaza akili zetu.
Nitaendele kutoa mpaka tujielewe sisi ni akina nani.