Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
- Thread starter
- #21
GoodYou are totally right. Kijana wangu alimaliza degree ya kwanza,akakuta nimemwanzishia mradi wa ufugaji. Alinuna mwanzoni tukawa hatusemeshani,sasa amenielewa baada ya kumkazania ns matunda kuyaona. Hataki kusikia neno kuajiriwa anapojipima na walioajiriwa.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app