UKWELI KUHUSU WASICHANA

UKWELI KUHUSU WASICHANA

DR MWASIMBAA

Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
43
Reaction score
29
Wasichana wa siku hizi ni zaifu sana. Kwa 98% wasichana huwa awajitambui na kujali afya zao. Kwani wakiwa chumbani huwa awakumbuki kujikinga zidi ya magonjwa ya zinaa. Badala yake ujisaau na kujiachia tu mwanaume hainngie tu kavu kavu.
Hivyo wasichana ni wadhaifu sana..
 
Kwahiyo nyie mnaofanya mapenzi kavu kavu ndo mnajitambua kisa ni wanaume au?? Sema wote hatujitambui sio usukumize mzigo kwa wanawake peke etu.
 
Mi ninachojua anayeamua kutumia au isitumike ni mwanaume maana akiamua hata kuipasua ni yey
 
Yaani me nilidhani unaanika yote kuhusu wanawake kumbe hilo moja tu!!
 
Suala LA kutumia condom ni wote wawili wanahusika kuna wanawake hawapendi condom wapo tayari kuahirisha tendo na wanaume kondom ni sign ya udhaifu. So blames should not go to one side people differ in terms of taste and preference
 
Unawaonea dada zetu kwanini wewe usikumbuke?

Kwani alie muanza mwenzake nani?
 
Yaaaaaani!!! Ipo hiviii, ............................ Thathmini upya huyo wako
 
Back
Top Bottom