Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,602
Ni kweli ni wadhaifu sana tena mahitaji yao yanavyozidi kuongezeka ndivyo wanavyozidi kuwa dhaifu,
kwa mfano unakutana na binti anataka umnunulie dazani au nusu dazani ya vyupi, umnunulie smartphone ya apple, umnunulie bundle la mwezi,
bado anataka umnunulie viatu virefu kama mnara, umnunulie gauni kama la beyonce, umnunulie sindiria kama ya rihanna, umnunulie gari, umfungulie akaunti benki, uwanunulie wadogo zake zawadi, umpatie zawadi mara kwa mara, umtumie hela ya dharura kwenye mpesa/tigo pesa,ttcl pesa ama airtel money yake.
jibu rahisi ni kuwa mabinti wengi wanajiingiza kwenye mtego wa kutokuwa na maamuzi wakati wa tendo la ndoa.
yaani namaanisha huwezi kuhongwa vyote hivyo hapo juu halafu ukampangia huyo mwanamme kuvaa kondomu.
majibu yangu siyo sheria.