Hii ni kweli, nadhani sababu kuu ni kwamba ukimwi unajikinga kwa kondomu lakini hakuna kondomu ya kujikinga kwa ukosefu wa helaUkitaka kumtisha mwanamke wa ki-sauzi mwambie una ukimwi,
Ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-marekani mwambie una cancer,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-china mwambie una sars,
na ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-bongo mwambie huna HELA.
Ni kweli?
Nazo huwa zinaishiwa mkuu au huwa zinaharibikia... hujawahi kukutana na yenye maandishi haya? TEMPORAIRY OUT OF SERVICE, VISIT ANOTHER ONEHaaaa Wakaoane na ATM kama wanapenda pesa sana.
Hata muandikeje humu pesa mtatoa tu kwa mwanamke! Kama si wewe basi yule, au huyu!