Wapi nimewalaumu Hollywood au niliposema zimeanzishwa na watu wa Hollywood? Nilichosema ni uzushi ULIOCHAGIZWA na Hollywood! Kutoka kwenye simulizi za kawaida na michoro; lakini yote hayo yakaja kupata umaarufu kutokana na filamu za Hollywood! Chukulia UFO kwa mfano... au hata Aliens... pamoja na kwamba palikuwa na simulizi za hapa na pale lakini wapo waliofikia kuamini masuala ya UFO na aliens baada ya Wajasiriamali wa Hollywood kutengeneza filamu kadhaa kuhusu UFO and aliens... same to vampires!Story za vampires ni za kitambo kabla ya sinema.... Na huwezi kuwalaumu Hollywood.... Hawajawahi kuclaim kuwa matukio kwenye movie ni ya kweli... Ndio maana wanaweka categories ikiwamo fiction na documentaries
just padlock machineNi yupi huyo mkuu
Habari zenu wakuu!
Nimekuwa interested kujua kama kweli vampire walikuwepo kama ninavyoona kwenye movies,na kama walikuwepo hawa wanaonekana kufanana na binadamu,..je ni nini kilitokea wakawa hivyooo(kisayansi uumbaji)!??
Pia kama mpenda movie za series unaeza kuwa unaifahamu movie ya supernatural humo ndani kuna SAM NA DEAN wanapambana na supernatural things,swali jingine kuna uwezekano hiyo series ikawa inaelezea uhalisia!?
Ufo ni story ya ukweliWapi nimewalaumu Hollywood au niliposema zimeanzishwa na watu wa Hollywood? Nilichosema ni uzushi ULIOCHAGIZWA na Hollywood! Kutoka kwenye simulizi za kawaida na michoro; lakini yote hayo yakaja kupata umaarufu kutokana na filamu za Hollywood! Chukulia UFO kwa mfano... au hata Aliens... pamoja na kwamba palikuwa na simulizi za hapa na pale lakini wapo waliofikia kuamini masuala ya UFO na aliens baada ya Wajasiriamali wa Hollywood kutengeneza filamu kadhaa kuhusu UFO and aliens... same to vampires!
Hamna ukweli wowote ule... ni mambo/simulizi ambayo yalishika kasi sana enzi za vita baridi zikilenga sana kila mmoja (US-CIA/USSR-KGB) ku-divert attention ya mwenzake! Jiulize swali moja-- umeshawahi kusikia kuonekana kwa UFO popote pale duniani over the past 30 years?! Ikiwa enzi ambazo teknolojia haikuwa kubwa kama sasa bado UFO ziliweza kuonekana sehemu mbalimbali duniani; kwanini tushindwe kuziona siku hizi wakati teknolojia imekuwa maradufu?!Ufo ni story ya ukweli
Bwana yuleNani mbowe au lowasa
Mtanisamehe keyboard inazingua nilikuwa hiyo mama inayojirudiarudia nilikuwa namaanisha kamaNiliwahi sikia vampire wapo, ila so mama tuonavyo ktk movie , mama no Bulgaria , sjui Slovakia, kuna popo wanyonya damu, inasemekana wapo ktk mapango hao wakikuuma unabadilika na kuwa na vijitabia flan tofauti, pia kulikuwa na jamii ya mavampire ambao walikuwa wakila majani na damu ya wanyama was porini, Mimi naamini vampire wapo ila si mama tuonavyo ktk movie, kingine mwaka 2010 niliwahi kumuona mtoto Ana memo mama Vampire nchini Burundi, huyu mtoto baba yake ni mkongoman na mama yake ni mwarabu , wakati namuona huyu mtoto alikuwa na miaka minne alikuwa na meno marefu yale manne juu na chini pia yale meno hayakuwa meupe kama mengine, yale manne yalikuwa yana rangi kama ya dhahabu hivi , pia huyu mtoto alikuwa ana hasira muda wote na alikuwa anakula nyama mbichi kama haitawekwa sehemu nzuri, nilijaribu kuongea na mamayake kujua amechukua hatua gani kuhusu mwanaye akasema amejaribu kumpeleka kila mahari ,ila akasema huko Congo ukweni wamemwambia yule mtoto akifikisha miaka saba atakufa, au wakijaribu kuyatoa pia atakufa na ndio sababu wakahama congo kwenda burundi ili kunusuru maisha ya mwanae, wakati anasema hayo alikuwa mwenye huzuni sana, skupenda kuendelea kumuuliza maswali mengine sababu hata mimi sikujua ni jinsi gani ningemsaidia. Nikaishia hapo.. Mpaka leo sijajua hatma ya yule mtoto maana miaka saba ishafika sasa... Mimi naamini wapo ila si kama tuonavyo vituko vya wazungu.
Lini mkuu..? Mbona haikutangazwaKuna kitu mfano wa dish kubwa kilipita maeneo ya kwetu njombe mjini/chaugingi kilikua kinatoA mwanga mkali sana....umbali kama wa mita 10 toka ardhini,hakikuwA kinatoa mlio ila eneo lote lilikuwa na mwanga kamA mwezi umeshuka kwa maana ilikuwa usiku mida ya saa mbili...naweza kusema hiyo pengine ilikuwa UFO
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Vampire ni sawa tu na mambo kamavile UFO, Aliens and et.al! Ni uzushi ambao ulichagizwa sana na watafuta pesa wa Hollywood.
so unamaanisha kuwa ni vigueur vya kufikirikaIt's just a movie there's nothing like vampire exist
Ilikuwa ni zamani sana,kila mtu aliamini ni ndege,sasa muda ulivyoenda nikaanza kuhoji kwa kuzingatia kigezo cha kuwa ndege haiwez kupita usawa huo pia labda ingekuwa helcopter ambayo lazima tungesikia makelele....Lini mkuu..? Mbona haikutangazwa