Ukweli kuhusu usaili wa uhamiaji

Ukweli kuhusu usaili wa uhamiaji

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Taarifa kutoka katika chanzo cha kuaminika kabisa ni kua majina yatatoka wiki ijayo. Mtoa taarifa huyo alinitonya kua leo hii wizara ya mambo ya ndani inasoma bajeti yake then jumamosi wadau wengi wakiwemo wa uhamiaji wanarejea jijini Dar na kuweka majina hadharani wiki ijayo.

NB: hizi ndo taarifa sahihi achaneni na wababaishaji jiandanaeni, ni taarifa tu ukisoma pita kimya kimya.
 
wizara ya mambo ya ndani wanasoma bajeti yao tarehe 16/05 acha ubabaishaji
 
nikikusubiri sana wewe mpotoshaji tmajuto ulikua wapi na vyanzo vyako vya uongo !!!! yeah ni kweli kesho tar 16 but hizo ndo taarifa sahihi
 
kwani nyie mkwishapa ajira huko zimamoto hata kabla ya bajeti haya ya huku wenyewe bado tunasubiri hata hadi mwakani.
kwanza mgonjwa bado unaumwa dengua ujameza hata panadol utakufa wewe
 
dengue nishapona tayari sasa hivi ebola kaka
 
Back
Top Bottom