Ukweli kuhusu shape ya Dunia

We umechanganyikiwa na akili.
 
We ndo huelewi, wapi biblia inasema nyoka aliongea? Biblia kitabu ambacho kina ujumbe wa kuaminiwa kuliko kitabu kingine vya aina hiyo.. Kuna nyoka wa aina nyingi...nikikuita wewe nyoka unaelewa hivyo hivyo na akili yako ndogo.
Sasa hizo tafsiri zako nyingine we unazitoa wapi Wakati biblia imeandika nyoka? Hakuna vitabu uongo kama vya Dini .
 
Katika Bible YOSHUA ALISIMAMISHA JUA (YOSHUA 10:12-13) Wewe jua simama kimya juu ya Gibeoni,nawewe Mwezi simama katika bonde la Aiyaloni
Ndipo jua likasimama na mwezi ukatulia


HUU NI USHAHIDI TOSHA KUWA DUNIA HAIZUNGUKI KABISAA BALI JUA NA MWEZI NDIO HUZUNGUKA DUNIA
 
Babu kuna vitu vingi vya kufanya achana na utafiti
 
Tupe nadharia ya kupwa na kujaa kwa bahari.

Ukituwekea na kapicha ka dunia kutoka anga za juu itanoga.
 
Wanasayansi wa bongo bhana, any way ni nadharia yako, I like you idea but huna evidence za kutosha
 

1. Mbona hapo kwenye blue panapingana na maneno yako niliyoyapa rangi nyekundu?

2. (a) Kwa utafiti wako huu, unaweza kuniambia kwanini masaa yanatofautiana kati ya sehemu moja na nyingine (hapa kwetu ni jioni ila Marekani ni asubuhi)?

(b) Kwanini wakati kuna maeneo muda huu ni mchana (mfano London), pengine ni usiku (mfano Hong Kong)?

(c) Kwanini kuna maeneo ambapo wanakuwa na miezi mitatu mfululizo ya kuwaka jua tu na miezi mitatu mfululizo ya giza tu (hasa maeneo ya Arctic na Antarctic)?

Nawasilisha.
 
Sasa ka hutaki maswali baki na uelewa huo asieelewa maana haambiwi maana, tena bora hata usingeleta thread hii.....
 
mleta mada yuko sahihi sana kwa kimtizamo wake ni jukumu letu kumchalange na sio kumtukana
Asante.
Jambo zuri huwa linapongezwa. Lakini mijadala usokuwa na kichwa wala miguu niya kudiscourage. He has learned a lesson
 
mkuuu umefikiria mbali mno, ningekua nagawa u profesa ningekupa moja ya yule msumbufu
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka sua?
Hii nayo athari ya kupata vihela na kununua vitachi watu mnajiongelea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…