Ukweli kuhusu shape ya Dunia

Ukweli kuhusu shape ya Dunia

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,162
Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.

Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.

#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.

#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.

#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.

#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.

Sababu za Uongo:

#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.

#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.

#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.

Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.
 
Are you a scientist? If not , basi kwaheri.
 
"Dunia Haizunguki jua,ila jua hulizunguka jua"

umeleta hoja yenye neno kama, kama nyingiii.hii inaonesha huna uwakika na ulichokileta,nadhani ni ngumu kukusaidia kwasababu hutaki.
 
hawa wazungu walionaje huku ndani??ina maana walio chini hawapati kizunguzungu?maji ya bahari hayamwagiki?majengo marefu hayadondoki?
images
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka sua?
sua=jua.

majini mbona tunasikia nayo yanaongea???
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka sua?
We ndo huelewi, wapi biblia inasema nyoka aliongea? Biblia kitabu ambacho kina ujumbe wa kuaminiwa kuliko kitabu kingine vya aina hiyo.. Kuna nyoka wa aina nyingi...nikikuita wewe nyoka unaelewa hivyo hivyo na akili yako ndogo.
 
"Dunia Haizunguki jua,ila jua hulizunguka jua"

umeleta hoja yenye neno kama, kama nyingiii.hii inaonesha huna uwakika na ulichokileta,nadhani ni ngumu kukusaidia kwasababu hutaki.
correction: Dunia haizunguki jua, ila jua huzunguka dunia
 
Bibilia kuna uongo mwingi tu ambao wakristo mnauamini lakini mnashindwa kuamini dunia ni duara? Unaamini nyoka anaweza kuongea lakini huamini dunia inaizunguka sua?
Usidhani pia kila anayeiamini biblia ni Mkristo!
 
Yani shirika la anga aa Urusi, la china japan, ulaya wote wakudanganye wewe tu.
Hata North Korea, India wote hawa wana satelites zinaelea kwenye space
Sijasikia taarifa zao, taarifa za namna anga lilivyo zote nazisikia NASA tu
 
Ttizo hujafatilia vyombo vingine vya utafiti wa anga, na pia wewe umejikita kwenye vyombo vya habari kama BBC, CNN, SKY so lazima upate story za NASA tu
 
Back
Top Bottom