Habari. Mnamo mwezi uliopita kuna organisation inajiita REBORN INTERNATIONAL walitangaza nafasi za kazi kwa malipo ya Tsh 4,530,000/= kwa miezi mitatu kwa position ya Civic and Voters Education Officers concerning with Tanzania Referundum Support Project. Mnamo jana wameanza kujibu waliomba na kuwaambia wamefanikiwa kupata nafasi hizo na kuwaambia kwamba wa scan vyeti vyao na kuvituma kwa mwanasheria wao vikiambatana na Tsh 51,500/= as a verification fee inayotumwa kwenye namba walizoweka ama kwenye akaunti ya Twiga Bancorp Bank.
PLEASE AND PLEASE WADOGO ZANGU MNAIBIWA SO MSITUME HIZO PESA. NAWASILISHA.
ni majambazi,waambie ufanye kazi kwa mwezi mmoja afu uwape mshahara woteHabari wakuu,
nilituma maombi ya kazi reborn international, sasa leo wamenijibu kwa email kuwa nimechaguliwa na natakiwa niende kwenye mafunzo yao tarehe 22 mwez huu.
sasa kilichonistua na kuja kuuliza hapA ni wao kuniambia niwatumie tsh 51000 kwa mpesa/tigo pesa au benki na vyeti vyangu kupitia email ili waweze kuvihakiki hivyo vyeti kupitia kwa mwanasheria/mtaalam wao kabla ya tarehe 15 mwezi huu wa 3.
Je wakuu mnaonaje, na kama kuna mwakilishi au yeyote anaejua kuhusu reborn international naomba unifahamishe maana naona kama kuna dalili za kuingizwa mjini/choo. Naombeni msaada wenu wakuu, nilipe hiyo hela au usanii tu.
Mkuu hiyo kazi uliomba online?manake utapeli huu huwa upo kwa kazi amabzo application zilifanyika online.....wpotezee washenzi hao kama ni kazi utapata uvumulivu ndio kitu cha msingi mkuu....Habari wakuu,
nilituma maombi ya kazi reborn international, sasa leo wamenijibu kwa email kuwa nimechaguliwa na natakiwa niende kwenye mafunzo yao tarehe 22 mwez huu.
sasa kilichonistua na kuja kuuliza hapA ni wao kuniambia niwatumie tsh 51000 kwa mpesa/tigo pesa au benki na vyeti vyangu kupitia email ili waweze kuvihakiki hivyo vyeti kupitia kwa mwanasheria/mtaalam wao kabla ya tarehe 15 mwezi huu wa 3.
Je wakuu mnaonaje, na kama kuna mwakilishi au yeyote anaejua kuhusu reborn international naomba unifahamishe maana naona kama kuna dalili za kuingizwa mjini/choo. Naombeni msaada wenu wakuu, nilipe hiyo hela au usanii tu.
Tangazo la kaz hili linishaliona ukweli ni kwamba ni utapeli...!!!usijribi kutuma hela wewe..kuna vyombo vya kisheria vinaakiki vyeti sio lazima wanasheria wao
Sasa mkuu fanya hivi ili kurahisisha mambo na siku nyingine usisumbuke kuuliza watu jf. Wewe chukua hiyo elfu 51 kisha tuma halafu sikilizia majibu ndiyo utapata uhakika kama ni kweli au sio kweli. Humu jf wengi wababaishaji tu hawatakupa jibu kamiliMnamo tar11-14 feb kuna tangazo la kazi katika mitandao mingi kutoka kwa kampuni inayoitwa REBORN INTERNATIONAL nafasi 100.
Tangazo hili hapA. [url]http://www.zoomtanzania.com/ListingUploadedDocs/Job_Adverts.pdf [/URL]
Wametoa majibu lakini cha ajabu na kushangaza ni kwamba unatakiwa kutuma fedha kwa ajili ya uthibitisho wa vyeti. Sh 51500
Kipande cha Email waliyotuma
Ningependa kujuzwa nadhani sio mimi tuu bali na wengine wengi waliokumbwa na hili
Je hi kampuni ni ya ukweli? Au ni matapeli?
Sasa mkuu fanya hivi ili kurahisisha mambo na siku nyingine usisumbuke kuuliza watu jf. Wewe chukua hiyo elfu 51 kisha tuma halafu sikilizia majibu ndiyo utapata uhakika kama ni kweli au sio kweli. Humu jf wengi wababaishaji tu hawatakupa jibu kamili