BLADSOME
Senior Member
- May 12, 2016
- 195
- 72
MDADA!
Mwanaume ni kama bata ukimchunguza sana huwezi kumla! Anakuwa na mambo mengi mabaya ya kweli na mengine ya kuhisi tu nakusingiziwa lakin as long as anakukuna vya kutosha na anaku care vizuri wewe tulia na jizuie sana kumchunguza mtu huyu! Utamchukia milele, ndo ile mtaishia kusema "wanaume wote wanafanana". No, tunatofautiana sana. "If all mens are same, why it took so long for a girl to choose a man(husband)?" Stay with yo man, give him all the best you can! Usimfunue upande wa pili kutaka kujua zaidi. UTAUMIA! Kiasili kabisaa mwanaume ana hulka ya kuwa na wanawake wengi, (Ndo maana waislamu tukapewa chance ya kuoa wake hadi wanne).
Trust me, shortly ni ngum sana mwanaume kuishi na mwanamke (MPENZI) mmoja tu for so long labda siku 2 au 3! Au labda asiwe na mwanamke kabisaa (Pope).
MWANAUME ASICHUNGUZWE JAMANI!
Ukitaka kuwini moyo wa mwaume...
Mpe, mpe, mpe.... yan we mpe tuuu! Maana hakuna namna, mpe tu!
MKAKA (ME)
Mwanamke ni kama kuku! Utampa nafaka nzuri (mahindi/mchele) lakini ataendelea kupakua chini. Usijiulize anatafuta nini kwan hata yeye hajui anatafuta nini na mwisho wa siku atarudi kula mchele ule ule uliempa!
Mwanamke unaweza kumpa good sex, good care, ukawa romantic kama Akshey Kumar lakini akaenda kugegedwa na Manfongo!
Shortly mke/mpenzi wako asikuumize kichwa, hawakui hawa watu! Usipate presha ya kwenda kununua sijui kasongo, urambishwe ugoro sijui mafuta ya tembo! Kamwe huwezi kumridhisha mwanamke!
Ukienda gym utafute sixpacks, kesho atahitaji six cars
Leo atapenda mtu mwenye ndevu kesho anataka asie na ndevu
Yalaaaaaaaaaaaaaaa (in crying voice)
Wow! I've got the best tip...
ukitaka kuwin moyo wa mwanamke inabidi uwe:
1. Mtundu kwa bed
2. Romantic
3. Mfupi
4. Mrefu
5. Mcheshi
6. Uwe na sixpacks
7. Uwe na kitambi
8. Fundi umeme
9. Daktari
10. Chef (Mpishi)
11. Mhuni
12. Mtanashati
13. Msela
14. Mwalimu
15. Mlinzi
16. Baunsa
17. Mnyonge
18. Dancer (mcheza show)
19. DJ
20. Mwimbaji
21. Mwandishi (Text za kubembeleza)
22. Mjanja
23. Bwege
24. TAJIRI
25.........................
.......TO BE CONTINUED.....