Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

umeshathibitishwa kwenye hiyo nafasi na baraza kuu la uvccm ?
 

Vipi uchaguzi wa madiwani arusha..?sijakusikia wewe mtumishi wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…