Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Wacha kupotosha hakuna neno bible hapo kwenye Aya .

Au ndio mafundisho mapya ya Mwalimu wa ushoga??
tuonyeshe basi inawezekana wewe mtume wa wanyonyi ni mjuzi basi tuonyeshe [emoji117] wafuasi wake wanaabudu jengo gani..
 
Kwani Qur'an inaitambua bibilia ya paulo? Wapi imesema tumfate paulo? Qur'an inesema hivi Hatuwatofautishi Mitume na vitabu vyao sio kitabu cha mzinifu yule paulo. Tena hakukosea aliposema kila mchungaji anahaki ya kula kitoweo anacho kifuga.😀
 

Kutokutajwa Dar es salaam exclusively ndani ya katiba hakuifanyi Dar kutokuwa mkoa mmojawapo wa Tanzania.

Kwa taarifa yako hata Madina haijatajwa katika Qur'an
 
tuonyeshe basi inawezekana wewe mtume wa wanyonyi ni mjuzi basi tuonyeshe [emoji117] wafuasi wake wanaabudu jengo gani..


masomo aliyopewa yayo Agassi yamekuzidi , Hivi hiyo ndiyo aya uliyoileta kutoka quran ???
 
hili swali lako unarudia rudia ukijiona mjuzi kumbe hujui kwamba hujui [emoji12] nilikujibu [emoji117] tuwekee toleo moja tu linalo pingana na Amri.10.za Mwenyezi kama koloani inavyo zipinga..[emoji15]

amri 10 ndio biblia yenu ya kule sauna ????

gonga hapo chini , nakuwekea mbili tu kwa kuanzia

Quick Comparison of Bible Versions
 
Mkuu umesema qbla ya kwanza ilikuwa jerusalem je kabla ya hapo jerusalem qbla ilikuwa wapi?
 
Mkuu umesema msikiti ulijengwa na malaika kabla ya kubomolewa na kujengwa na suleimani je ni kwa vipi malaika mwenye kuujenga kwanza alishindwa kuulinda?
 
hili swali lako unarudia rudia ukijiona mjuzi kumbe hujui kwamba hujui [emoji12] nilikujibu [emoji117] tuwekee toleo moja tu linalo pingana na Amri.10.za Mwenyezi kama koloani inavyo zipinga..[emoji15]


 
hili swali lako unarudia rudia ukijiona mjuzi kumbe hujui kwamba hujui [emoji12] nilikujibu [emoji117] tuwekee toleo moja tu linalo pingana na Amri.10.za Mwenyezi kama koloani inavyo zipinga..[emoji15]



A typo in a 1631 version of the King James Bible implored its readers to commit acts of adultery

 
Mnapoteza muda kubishana, unabii lazima utimie whether you like or not.
 
Inabidi jambo hili waachiwe ma padre na ma sheikh wayahudi, na watu wakidini ndio wanaweza tatua hili kwa haki kutokana na kuwa historia ya israel kuhusika na mambo ya dini nk
 
Mkuu umesema msikiti ulijengwa na malaika kabla ya kubomolewa na kujengwa na suleimani je ni kwa vipi malaika mwenye kuujenga kwanza alishindwa kuulinda?
Yani unajua umekuja na point nzuri sana. We unashangaa Malaika wa Mungu kujenga Msikiti afu ukabomolewa. Sa mimi nashangaa vipi Mungu kamruhusu mwanaye afe ile wafutiwe madhambi watu kama nyie wakristo🙁 Na vipi walimua na Mungu alikuwa wapi asimzue mwanae wa peke mpaa amtolea sadaka. Yani hao walimuwa mtoto wa mungu wenu, mungu wa wakristo hakuwaona? Ukishangaa ya firauni utashangaa ya wakristo kusema mungu wao kafa kwa ajili yao😀
 


Ndugu yangu umeongea fact za wazi kabisa na point yako inaeleweka kwa wanaosoma vizuri biblia bila unazi wa kidini ila naona kasoro yako hapo unatumia lugha ghali Kali zinazowanyima wazembe kudadavua ila utawapata wanaotaka kujibizana na wewe
 
A typo in a 1631 version of the King James Bible implored its readers to commit acts of adultery

umeokota wapi hicho kipande cha karatasi [emoji47] [emoji348] [emoji348] [emoji348] kumbe hata Kauli ya Mungu huijui eeh [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…