Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

mbowe kuna mahafa hata kusaidia kuwabeba majeruhi alishindwa na lema pia mbowe amekia akitengenezea miwani vizuri na lema akishika box la pesa kwa umakini uzalendo upo wapi hapo jamani wamebaki wakisema ushahidi tunao amna ushahidi hapo ni uhuni tupu

Sentensi ni fupi sana lakini makosa kibao, Mwigulu nae, ulipataje hiyo first class?
 
Mtabadili ID mpaka mmalize majina yooote ya dunia hii. Yaani kuandika koooote huko unahitimisha na KINYESI LAINI kama sio cha majimaji!!

Mmesha BINAFSISHA AKILI kiasi kwamba lazima muandike kile ambacho BWANA wenu atafurahi. Hamna haja ya kuweweseka nyie subirini 40 yenu imekaribia. Sijui kama umesoma ule uzi wa jamaa aliye salimisha silaha ya Chama chenu POLICCM?

Madam Selungo,hapa si pa makubwa jinga,yaliyofirisika fikra,wenye kutumia KAMASI badala ya ubongo Kama wewe,sikiliza wewe mbulula unaepambania hewa badala ya sera,masikini wa mawazo mwenye mlengo wa kilebar....kutokana sir Kwenda madam,usitafute mabwana wa kukuoa kinguvu,Kama huna hoja tafuta mabahasha kutoka chama chako kinachotetea ndoa ya jinsia 1 kinyemela...
Ubongo umetoka kichwani ukawekewa kiny..si..ndio maana hata Maelezo yako yamejaa harufu.
Pigania haki yenu ya "kishetani"ya ndoa ya jinsia moja then mpate forum yenu "mapunga"matupu..
 
Mwigulu nchemba hasafishiki hata ufanyeje, kama amekupa pesa ili umsafishi mwambie imekula kwake... Tz bila ccm inawezekana.
 
Madam Selungo,hapa si pa makubwa jinga,yaliyofirisika fikra,wenye kutumia KAMASI badala ya ubongo Kama wewe,sikiliza wewe mbulula unaepambania hewa badala ya sera,masikini wa mawazo mwenye mlengo wa kilebar....kutokana sir Kwenda madam,usitafute mabwana wa kukuoa kinguvu,Kama huna hoja tafuta mabahasha kutoka chama chako kinachotetea ndoa ya jinsia 1 kinyemela...
Ubongo umetoka kichwani ukawekewa kiny..si..ndio maana hata Maelezo yako yamejaa harufu.
Pigania haki yenu ya "kishetani"ya ndoa ya jinsia moja then mpate forum yenu "mapunga"matupu..

Nilijua NIMEKUGONGA IKULU. Na ndio maana umeishia kutokwa povu hata kushinda la mwenye Kifafa! Hii ndio JF. Ukija kama GT utaeleweka tu! Ukija kama wa kutega watu tutakuelewa tu! Na kwa sababu umetokezea kwa style hii, tatizo ni KUBINAFSISHA AKILI. Iwe Sir or Madam all are GENDER.

Njoo kivingine!

Welcome to the JF.
 
Ndugu Chimba Vituz kwanza karibu sana kwenye Jukwaa la Siasa ! Huku huwa tunaongea kwa vielelezo , bila hata kujali kiwango cha posho ulicholipwa! Subiri wajuzi wakuwekee video ya hayo unayoyakataa halafu tuone imekuwaje , usikimbie tu .
 
Hilo pia litakua Jina la ukoo wako,maana hata sura yako uliyo-display inathibitisha wewe ni wa ukoo huo,na majina yote mawili ndio yako..

Kiongozi!

Mbona wa juzi tu lakini hasira kibao? Si ndio wewe Mwigulu na ID mpya! Ponguza mapovu!!! Hapa ni JF.
 
Naibu Katibu mkuu(CCM)bara na Mbunge wa Iramba magharibi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba,ambae alikua mmoja Kati ya viongozi wa CCM wa kitaifa,walioshiriki katika kampeni zilizohusisha kata 4 ndani ya manispaa ya Arusha na moja Monduli,ambayo CCM wameichukua tena,amekua mstari wa mbele kunadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo zilizohitimishwa mapema tar 18.7.2013. Kumekua na mengi yaliyo na yanayosemwa dhidi yake,nikiwa mmoja Kati ya wakazi waliofatilia karibu siasa za Arusha na kwa maoni tofauti nikaona ni vema nishiriki nanyi katika habari hii ju ya kweli na yasiyo ya kweli,mwenye ushahidi tofauti awasilishe huo na si matusi.

Ni kweli alidhihirisha mbele za umma wa wana Arusha wa kata zote ju ya ukomavu wake wa kisiasa alionao,kwa kujenga hoja za chama chake,na kueleza wapiga kura na wengineo Yale ambayo chama chake kimefanya na kwa vielelezo.

Wakati akifanya hivyo pia hakuacha ku-refer ju ya upande wa wengine ambao pia walipata fursa ya kujinadi mwaka 2010,kupitia kwenye uchaguzi mkuu,kuaminika kwa wapiga kura kutokana na ahadi zao lukuki kisha kupata fursa za uongozi kwenye jumla ya kata 8 Kati ya 19,pamoja na jimbo la Arusha.alijaribu kuhoji endapo viongozi hao waliwahi hata kutekeleza moja Kati ya ahadi lukuki zilizoelezwa kua zingetekelezeka ndani ya mwezi mmoja! Majibu kwa wapiga kura wa Arusha yalikua HAPANA! Alikua akiendelea kuwakumbusha kua sasa wamekwisha jua chama chenye asili ya utekelezaji na chenye asili ya kutoa ahadi lukuki hewa na kisha kutotimiza.

Ni kweli pia,aliambatana na Yule kijana Musa wa Igunga,ambaye alifanyiwa kitendo cha kinyama na kisicho hata na tone la hofu ya Mwenyezi Mungu,kwa kumwagiwa na tindikali na kisha kutupiwa kwenye miiba,ambapo alifanikiwa kukimbizwa KCMC na baadae Nchini India. Kabla ya kumsimamisha ili naye awasalimu Kama ilivyohaki kwa mwanachama wa chama chochote kupewa nafasi na chama chake kusalimu wapiga kura,hakukua na dhambi katu kwa Mwigulu, kuwaeleza Wananchi maswahibu yaliyomkuta kijana mwenzao na huku akilaani kitendo hiko na kusema kua Tanzania hatupaswi kufika hapo.

Ni kweli,ameeleza bayana kupitia kampeni alizoziongoza kua hawezi kuwapenda "chadema/wana siasa wanaoratibu migogoro kwa vijana/Kada yoyote ile, badala ya kuratibu namna ya kuwasaidia vijana hao/wananchi",alisisitiza mara kwa mara hathari ya kiongozi alieaminika na kupata dhamana ya kuongoza ni vema akajaribu kusimamia namna ya kukabiliana na kero za Wananchi badala ya kuwaongezea kero nyingine kwa kupandikiza chuki ungali unaboresha maisha yako na familia yako na hao waliokufikisha hapo wakiambulia kubaki na fujo pamoja na kuharibiwa watoto wao na biashara zao kuyumba.

Ni kweli,alisema kwa kua chadema wameshindwa kutekeleza waliyoahidi hata kutunza tu yaliyofanyika Arusha,wakati madiwani wao hawaingii bado manispaa!je wana Arusha mtawezaje kupata uwakilishi ju ya kero zilizopo endapo mtawachagua!which is very true!

Ni kweli pia alisema,kuna kila sababu wana siasa kua na utu,uzalendo na nia ya dhati ya kusaidia Wananchi hususan kwenye Yale unayoyasema,akitolea mifano hai mingi ya changamoto zilizopo Arusha mjini bila ya kusemewa.

Si kweli,kua alisema Arusha watakoma wasipoichagua CCM,sababu tukumbuke hata kabla ya uchaguzi huu mdogo kata hizo zilikua kwa CDM,na CCM haikua na cha kupoteza bali Wananchi wa kata hizo na Jimbo la Arusha kwa ujumla,kwa kukosa uwakilishi ndani ya manispaa na bungeni,Tanzania nzima inajua kua hata mbunge Lema hajawai toa mchango wa aina yoyote Kama uwakilishi kwa wapiga kura wake zaidi ya kuendelea kujenga uchumi wake na familia huku Wananchi wakiachwa wakielemewa na matatizo.

Si kweli kua,alichochea kwa maneno kwenye jukwaa lolote,mahali popote,pale ju ya fujo kwa aina yoyote,isipokua kwa wapinzani wa maendeleo Kwao yaliokuwa yakisemwa na Mwigulu na ambayo hua anayasema siku zote,ndani ya bunge na penginepo kwenye ulingo wa kisiasa,yamekua kama miiba ya moto ya inchi 7! Bali kwa wapinzani wa kisiasa Imekua changamoto inayohitaji kujipanga tena kwa ajili ya maboresho.

Nahitimisha kwa kushauri yafuatayo;
1. Ni vema tukawa wana siasa na si wapinzani wa siasa,kwa kuwa wa kweli kwenye ukweli na kusimamia haki palipo na haki.
2.Ni vema Kama GT,Mzalendo wa Nchi ukachukua hatua ya kupigania Nchi badala ya ushabiki.

3.Chama/Viongozi makini ni wale tu wanaoweza kukusanya na si kutawanya watu wake.

4.Si vema hata kidogo,kupotosha wengine kwa maslahi ya siasa za ushabiki,Mahusiano ya aina yoyote,udini,ukabila,ujinsia ama matarajio ya baadae yasioyojulikana hata hatma yake.

5.Hatma ya Tanzania ya Leo ipo ju yako na mimi,tukae tutafakari yapi yatakua matunda ya kutumika kwa uongo!nini hatma ya WATOTO zetu,WADOGO zetu,WAZAZI wetu hata BABU na BIBI zetu baada ya kushiriki kuvuruga amani yetu,kupitia kauli za udini,ukabila na siasa chafu za wana siasa WAROHO! Wanaotuchochea leo!

Ndugu Mtanzania"chukua hatua ya kusimamia ukweli na kupinga uongo hadharani maana laana ya aina yoyote itakayotokana na upotoshwaji wowote ule,hautokuacha,wakati watu wakianza kuchinjana na kubaguana kwa dini AMA makabila yao hakika yote hayo yataandikwa upande wako. Natambua wapo watakaoleta ushabiki katika hili,ila muombe Mungu akusaidie kuchangia kwa hekima.
Idumu Tanzania,Idumu amani yetu na undugu wetu.[/QUOTE
Kajifunze kwanza kiswahili. 'alikua' 'walikua' 'kilikua' ndo kakufundisha Mwigulu.uandike hivyo? pumbavu!

Najua una hasira ya kuachwa na yule bahasha wako Mzee M...y,ndio tatizo la vijana kupapatika na maelekezo mpaka umekua bwabwa...
Ningeshangaa sana Kama punga mashuhuru Kama wewe ungeweza changia tofauti.

Wai kampikie mmeo...
 
hivi wewe ungebahatika kuwa ni mmoja wa wafiwa au muathilika wa mabomu either huna jicho au umekatwa mguu ungeandika hivi ulivyo andika! usiwe mbinafsi kwa kiasi hicho!
 
mwigulu ni mjanja huwa anawatumia vijana wasio na mwelekeo.....hawa vijana ni vilaza na huwa wanatoka familia maskini sana
mara ya mwisho kijana huyo aliyebabuliwa na tindikali (pole sana musa kwa kuwa ni tendo baya kwa kila mwanadamu) alikuwa anakunywa kiroba na safari akichanganya pale sterio hotel usiku akiwa na tecno akibrowse browse na kutema mate mithili ya nyoka. Nilimwonea huruma kutumiwa na mtu kama mwigulu kusema ambayo hayajui. Nikamwona ni mchumia tumbo tu maana hana option ila kudhalilishwa ili apate chakula. Hatofautiani na kahaba hata akiombwa 0713... Hutoa ili apate chake. Hahaaa alilala mida ya saa saba hali ikiwa tete. Chezea kiroba jogoo plus safari lager urithi wetu weye
 
hivi wewe ungebahatika kuwa ni mmoja wa wafiwa au muathilika wa mabomu either huna jicho au umekatwa mguu ungeandika hivi ulivyo andika! usiwe mbinafsi kwa kiasi hicho!

Tumia macho kusoma,akili kufikiria na vidole kuandika na katu usiwe mwehu wa kukurupuka..
Nani ameongelea furaha ya maafa yaliyojiri Arusha,umekurupukia wapi wewe kasimba...

Mwanaume akaliwi mapajani na mwanaume mwenzake..jipange na uelewe mada..
Hakuna asieumizwa na yaliyotokea.soma uelewe..
 
Bogus to you,simply because am not provide a room dr slaa and mbowe to think onbehalf of me,as you do.

kama hujui kingereza si uandike kwa kiswahili tu! Umemjibu nini hapa sasa,! Mijitu mingine hopeless kabisa! Waambie mabwana zako kina Mwigulu Mchemba wakupeleke english course kama unakihusudu sana kimombo.
 
Mwigulu hasafishiki,muda si mrefu wana ccm watamwomba mwenyetikki wao amwondoe kunusuru pumzi la maiti ccm

Mimi nimekuwa nikimwomba mwenyekiti awapumzishe Mwigulu na Nape. After all Nape alitangaza hadharani endapo Kikwete angekuwa rais angehama nchi. Sasa vipi anapata urais halafu anampa msaliti wa chama nafasi kubwa katika uongozi? Hata kama nyoka atajivua gamba, sumu yake haichuji.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Naibu Katibu mkuu(CCM)bara na Mbunge wa Iramba magharibi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba,ambae alikua mmoja Kati ya viongozi wa CCM wa kitaifa,walioshiriki katika kampeni zilizohusisha kata 4 ndani ya manispaa ya Arusha na moja Monduli,ambayo CCM wameichukua tena,amekua mstari wa mbele kunadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo zilizohitimishwa mapema tar 18.7.2013. Kumekua na mengi yaliyo na yanayosemwa dhidi yake,nikiwa mmoja Kati ya wakazi waliofatilia karibu siasa za Arusha na kwa maoni tofauti nikaona ni vema nishiriki nanyi katika habari hii ju ya kweli na yasiyo ya kweli,mwenye ushahidi tofauti awasilishe huo na si matusi.

Ni kweli alidhihirisha mbele za umma wa wana Arusha wa kata zote ju ya ukomavu wake wa kisiasa alionao,kwa kujenga hoja za chama chake,na kueleza wapiga kura na wengineo Yale ambayo chama chake kimefanya na kwa vielelezo.

Wakati akifanya hivyo pia hakuacha ku-refer ju ya upande wa wengine ambao pia walipata fursa ya kujinadi mwaka 2010,kupitia kwenye uchaguzi mkuu,kuaminika kwa wapiga kura kutokana na ahadi zao lukuki kisha kupata fursa za uongozi kwenye jumla ya kata 8 Kati ya 19,pamoja na jimbo la Arusha.alijaribu kuhoji endapo viongozi hao waliwahi hata kutekeleza moja Kati ya ahadi lukuki zilizoelezwa kua zingetekelezeka ndani ya mwezi mmoja! Majibu kwa wapiga kura wa Arusha yalikua HAPANA! Alikua akiendelea kuwakumbusha kua sasa wamekwisha jua chama chenye asili ya utekelezaji na chenye asili ya kutoa ahadi lukuki hewa na kisha kutotimiza.

Ni kweli pia,aliambatana na Yule kijana Musa wa Igunga,ambaye alifanyiwa kitendo cha kinyama na kisicho hata na tone la hofu ya Mwenyezi Mungu,kwa kumwagiwa na tindikali na kisha kutupiwa kwenye miiba,ambapo alifanikiwa kukimbizwa KCMC na baadae Nchini India. Kabla ya kumsimamisha ili naye awasalimu Kama ilivyohaki kwa mwanachama wa chama chochote kupewa nafasi na chama chake kusalimu wapiga kura,hakukua na dhambi katu kwa Mwigulu, kuwaeleza Wananchi maswahibu yaliyomkuta kijana mwenzao na huku akilaani kitendo hiko na kusema kua Tanzania hatupaswi kufika hapo.

Ni kweli,ameeleza bayana kupitia kampeni alizoziongoza kua hawezi kuwapenda "chadema/wana siasa wanaoratibu migogoro kwa vijana/Kada yoyote ile, badala ya kuratibu namna ya kuwasaidia vijana hao/wananchi",alisisitiza mara kwa mara hathari ya kiongozi alieaminika na kupata dhamana ya kuongoza ni vema akajaribu kusimamia namna ya kukabiliana na kero za Wananchi badala ya kuwaongezea kero nyingine kwa kupandikiza chuki ungali unaboresha maisha yako na familia yako na hao waliokufikisha hapo wakiambulia kubaki na fujo pamoja na kuharibiwa watoto wao na biashara zao kuyumba.

Ni kweli,alisema kwa kua chadema wameshindwa kutekeleza waliyoahidi hata kutunza tu yaliyofanyika Arusha,wakati madiwani wao hawaingii bado manispaa!je wana Arusha mtawezaje kupata uwakilishi ju ya kero zilizopo endapo mtawachagua!which is very true!

Ni kweli pia alisema,kuna kila sababu wana siasa kua na utu,uzalendo na nia ya dhati ya kusaidia Wananchi hususan kwenye Yale unayoyasema,akitolea mifano hai mingi ya changamoto zilizopo Arusha mjini bila ya kusemewa.

Si kweli,kua alisema Arusha watakoma wasipoichagua CCM,sababu tukumbuke hata kabla ya uchaguzi huu mdogo kata hizo zilikua kwa CDM,na CCM haikua na cha kupoteza bali Wananchi wa kata hizo na Jimbo la Arusha kwa ujumla,kwa kukosa uwakilishi ndani ya manispaa na bungeni,Tanzania nzima inajua kua hata mbunge Lema hajawai toa mchango wa aina yoyote Kama uwakilishi kwa wapiga kura wake zaidi ya kuendelea kujenga uchumi wake na familia huku Wananchi wakiachwa wakielemewa na matatizo.

Si kweli kua,alichochea kwa maneno kwenye jukwaa lolote,mahali popote,pale ju ya fujo kwa aina yoyote,isipokua kwa wapinzani wa maendeleo Kwao yaliokuwa yakisemwa na Mwigulu na ambayo hua anayasema siku zote,ndani ya bunge na penginepo kwenye ulingo wa kisiasa,yamekua kama miiba ya moto ya inchi 7! Bali kwa wapinzani wa kisiasa Imekua changamoto inayohitaji kujipanga tena kwa ajili ya maboresho.

Nahitimisha kwa kushauri yafuatayo;
1. Ni vema tukawa wana siasa na si wapinzani wa siasa,kwa kuwa wa kweli kwenye ukweli na kusimamia haki palipo na haki.
2.Ni vema Kama GT,Mzalendo wa Nchi ukachukua hatua ya kupigania Nchi badala ya ushabiki.

3.Chama/Viongozi makini ni wale tu wanaoweza kukusanya na si kutawanya watu wake.

4.Si vema hata kidogo,kupotosha wengine kwa maslahi ya siasa za ushabiki,Mahusiano ya aina yoyote,udini,ukabila,ujinsia ama matarajio ya baadae yasioyojulikana hata hatma yake.

5.Hatma ya Tanzania ya Leo ipo ju yako na mimi,tukae tutafakari yapi yatakua matunda ya kutumika kwa uongo!nini hatma ya WATOTO zetu,WADOGO zetu,WAZAZI wetu hata BABU na BIBI zetu baada ya kushiriki kuvuruga amani yetu,kupitia kauli za udini,ukabila na siasa chafu za wana siasa WAROHO! Wanaotuchochea leo!

Ndugu Mtanzania"chukua hatua ya kusimamia ukweli na kupinga uongo hadharani maana laana ya aina yoyote itakayotokana na upotoshwaji wowote ule,hautokuacha,wakati watu wakianza kuchinjana na kubaguana kwa dini AMA makabila yao hakika yote hayo yataandikwa upande wako. Natambua wapo watakaoleta ushabiki katika hili,ila muombe Mungu akusaidie kuchangia kwa hekima.
Idumu Tanzania,Idumu amani yetu na undugu wetu.
Wa-Tanzania hasa wa LEO wanadanganywa na lugha nyepesi hivi?hujafanya tathmini sahihi,wa-tz wa leo wanajijua,na wanajua thamani ya nchi yao na utu wao,acha porojo za kisiasa,na Kama hauko Arusha,mwambie mtu anayeijua Arusha akwambie siasa za Arusha,huku hatutaki longo longo,ndio maana Mwigulu na wenzie wamepashindwa
 
Katika sakata arusha mbowe hata afanye nini hatumuelewi na hatutamuelewa kamwe vitendo vya kuuwa watu tumechoka navyo.
 
Nilijua NIMEKUGONGA IKULU. Na ndio maana umeishia kutokwa povu hata kushinda la mwenye Kifafa! Hii ndio JF. Ukija kama GT utaeleweka tu! Ukija kama wa kutega watu tutakuelewa tu! Na kwa sababu umetokezea kwa style hii, tatizo ni KUBINAFSISHA AKILI. Iwe Sir or Madam all are GENDER.

Njoo kivingine!

Welcome to the JF.

Huna uwezo wa kugonga akili yangu zaidi ya akili za wanaokulala...hajawai kua na hoja hata siku moja na ndio kawaida ya mapunga yote...c ndio mambo ya haki zenu za mlengo wa kilibera...
 
Back
Top Bottom