Ukweli kuhusu mbegu za kiume (sperm) !

Ni kweli, lakini... Wakati unakimbia huku ukiwa mbegu mkielekea kwenye yai, mbegu wenzio walikuwa wanahangaika na mbia tu... wala hawakujihusisha na kukupiga "ngwala", kukuvuta "mkia", kukuroga, kukuibia, kukutukana, kukusengenya... Hawa "mbegu" tunaoishi nao, wanaemda kwa waganga ili ufeli, wanaiba ulichokwisha kukipata, wanakudharau kwa kiwango cha juu etc

Hivyo basi ili tufanikiwe, tusiangalie mazingira tuliyopita wakati tukiwa "MBEGU", yale yalikuwa VERY IDEAL.... temperature haiwi regulated na wewe "MBEGU", chakula cha kukufanya uendelee kuwa "MBEGU" na hatimaye mimba, hutafuti wewe "MBEGU"....etc

Ngali K
 
Mkuu asante sana " kwa hii motivation" pamoja na ubora na unguli wote wa huu mtandao pendwa wa Jf "" lakini nachelea kusema "" huwa " inakosa mada kama hizi " kama zipo huwa ni kwa uchache mnoo"
We have more critics than Motivations, most are pessimistic than its opposite
 
Maintain your enviroment with successful people. Avoid mediocre groups
 
Umeshindana na mbegu milioni 300 kufika kwenye ovum, wakafanikiwa 500 tu kufika kwenye yai, na humo kwenye yai kafanikiwa mmoja tu kutengeza kiumbe.

Kwa sababu sasa ivi kuna 7.6 Billion people on Earth comparing to 300 million sperms. Saivi tunatakiwa tushindane na 7.59999999... na sio tena 300 million mkuu ngoma imezidi kuwa ngumu.... utapigania life itafika wakati itabidi wachache watusue wengine wabaki kulala hoi.... muhimu jitihada
 
Aiseeee...
 
Aisee
 
hata kombe la dunia pamoja na kwamba timu zote zilizochaguliwa kushiriki ni nzuri lakini stashinda mmoja tu; Tazama kina mess walivyoharibu,
sasa rudi kwenye hoja yako, uliposhinda kutoka kwenye mbegu 300mil kumbuka ulishinda kuja kwa washindi wenzio, I mean ulishinda ili uje kushiriki na vipanga wenzio,
Noma sana unakutana na vipanga kama mm hapa utanishindaje,?
Dunia ni survive 4 the fittest!!!
Ulishinda ndondo cup haimaanishi utatoboa WorldCup unaweza ishia kuwa mshabiki tu!
 
Wale walikua goigoi wenzako, Kumbuka waliopo duniani ni washindi wenzako kwahiyo lazima apatikane wa kwanza na wa mwisho
 
umefikiria mbali sana we jamaa
 

Hizo ni dunia mbili tofauti

Majibu kuntu.
Duniani kuna husda, vihoro..... Watu wako bize kuhangaika na wewe ili usisonge mbele, tifauti na tumboni.[emoji81] [emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…