ukweli kuhusu madee(sinywi pombe wala kuvuta bangi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukweli kuhusu madee(sinywi pombe wala kuvuta bangi)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zasasule, Sep 9, 2010.

 1. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  baadhi ya wabongo walikuwa wakimfikiria madee kuwa yeye ni mvuta bangi pia ni chapombe

  cheki hii conversation
  37754_411302111365_516276365_5104018_7285426_n.jpg Jana kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa na radio ya Clouds FM na kuendeshwa na mtangazaji B12 ilikuwa ni siku ya DISS DOT COM.
  Diss zilizosomwa zilikuwa nyingi lakini diss iliyo make hard line ni pale msikilizaji anayekwenda kwa jina la Chitemwe kutoka Tabata alipomdiss msanii kutoka TIP TOPMadee na kumwambia kuwa anaboa anapokuwa stejini amekunywa au kuvuta bangi so anapoimba anakuwa amelegea na hafanyi vizuri stejini.

  Sasa leo mtu mzima Madee akashuka mjengoni Clouds FM na kumjibu jamaa huyo aliyetuma diss hiyo namnukuu
  "Mimi nilikuwa studio pale kwa master jay na wenzangu nikapata simu zinazosema kuwa kuna mtu kanidiss kuwa mimi mlevi hadi nikiwa stejini nawaboa mashabiki, kilichoniuma zaidi hadi mama yangu alinipigia simu wakati huwa asikilizagi radio. Nachopenda kumwambia huyu kijana ni kwamba mimi huwa Sinywi, Sivuti Bangi wala situmii kilevi chochote, sasa nachosema naweza kumchukulia hatua maana kuna vitu fulani kanipunguzia katika maisha yangu"

  So kilichofanywa leo na B12 kumfungia huyo jamaa Chitemwe kutotuma tena diss zozote hadi mpaka pale aruhusiwe.
  anajulikana kwa jina
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hayo mamabo ya kiboflavour sio mahali pake hapa .Kwani hii sread unadhani inatusadia nini au wewe kama ulivyo?
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  man hii its all abt gossips and jokes.kwa nini tusi wapromote wasanii wetu wenyewe
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  wehu mtupu...
  post kama hizi ni za kuzi ignore tu..
   
 5. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Sasa mbona umeipa attention ..........kaaaaaaaaazi kwelilkweli
   
Loading...