mkuu vitu vingine sio vya hadithi za sungura na fisi.hii kitu acha kbsa ndugu na iogope.usitegemee ukiwa na laana unajijua sahau hyo watu ndo wanajua ww umelaanikaKatika hali ya kawaida watu wa kale waliaminishwa vitu hivi yaani baraka na neema kuwa vipo alihali kiuhalisia ni kitu ambacho hakipo.. hii ni kwa upande wangu.
Umewahi kujiuliza kwann wanaotoa laana na baraka weng wao husemekana ni wazazi au wazee/walezi kuliko mtoto kutoa laana kwa mzazi?
Je hii laana ilipangwa kwa wakubwa tu wao ndo watoaji wa laana na baraka?
Jibu ni kwamba enzi za mababu zetu maneno haya laana na baraka yalitumika kujenga watoto kukaa katika malezi mazur yaan wasifanye vitu vibaya vya kuweza kuikwaza jamiii lasivyo walitishia watapata laana and vice vesa kwa baraka maneno haya yalitumika kama silaha tu na sikweli.
Na kama kuna ukweli uliwahi kumuona mtu kapata laana papo kwa papo? Hii imejengwa akilini mwa watu kuwa laana huja baadae...hakuna ukweli wowote na ili jambo ni imani tu tumejengewa kama ilivyo imani zingne.
Mkuu achana na hiyo imani, itakutesa sana. Ndiyo hii "fear of the unknown". Utatambika sana kwenye makabuli ya mababu zako kwa lengo hili la kuondoa "laana". Na kila utakapofeli kimkakati akili yako itakuelekeza kwenye "laana". Umeshindwa kulipa deni wanataka kuuza nyumba akili itakutuma kutambika kwenye kaburi la baba, mjomba, shangazi, mama, bibi, nk. Ili laana itoke wasiuze nyumba yako! Achana na hiyo dhana.!subir ulaaniwe ndio utajua laana ipo.na uzr ukipata laana ww km ww huwezi kujijua ila wengine.hii ipo kiimani na nikwl ipo
Wao wanajuaje kama nimepata laanawanakipimo cha laana?mkuu vitu vingine sio vya hadithi za sungura na fisi.hii kitu acha kbsa ndugu na iogope.usitegemee ukiwa na laana unajijua sahau hyo watu ndo wanajua ww umelaanika
umeanza kufafanua vizuri ila mwishoni umeharibu kwa sababu umejitungia swali lako na kujijibu, maana yake uko nje ya maada! sijasema popote pale kwenye huu uzi kwamba ati sayansi ni dini wala dhehebu, leta mchango mkuuKwanza tujiulize neno laana latoka kwenye lugha gani? halafu ndio ulete huo ushahidi wako wa uongo latoka kwenye lugha ya kiarabu maana yake nikuwa mbali na kukubalika na Allah (Mwenyezimuungu) Hilo neno sisi wa swahili sio letu halafu hakuna dini itwayo sayansi kama hujui maana ya sayansi maana yake ni jitaahidi za uvumbuzi upo mkuu sio dini alio Kuja nayo Muhammad na Yesu isibitishe na sayansi hapana sayansi isibitishwe na vitabu vikatifu upo mzee cc waislamu na wakiristo hatuna dini itwayo sayansi upo
tehetehe[emoji13] [emoji13] [emoji13] taratibu mkuuWao wanajuaje kama nimepata laanawanakipimo cha laana?
ulimwona mtu kalaniwa?
je iyo laana uwa inampataje muhusika kutoka kwa mtoa laana na anayelaniwa?
je unajua kutoa laana?
Ulimpa laana nani?
Maneno yapi unatumia kutoa laana?
Inachukua siku ngapi laana kumpata muhusika?
Naomba leo unipe laana nitoe ushuhuda jf.
Sipendagi ujinga mimi...
Punguza jaziba ili busara zipate nafasi! Hebu tusaidie: umewahi kukutana na mtu aliyealaaniwa? Yukoje? Au nini kilikutuma kuona kuwa huyu ni mtu aliyelaaniwa?! Si kweli kwamba mpaka mtu anayemfahamu alipokwambia kuwa huyo unayemuona amelaaniwa ndipo nawewe akili yako ikaelekea huko?watu wakishiba ugali wana matatizo sana, eti hakuna laana! nyie mnaishi jamii ipi? acheni kujifanya hamjui haya mambo, tumieni akili ya kawaida sio sigara bwege
sipendagi ujinga mimitehetehe[emoji13] [emoji13] [emoji13] taratibu mkuu
Laana ipo mzee kama unabisha jaribu uone.Laana ni adhabu apeyo mtu baada ya kudhulumu nafsi ya mwenzie yaani kumfanyia ubaya au kumkosea Allah.Hakuna kitu kama hicho.Ni suala la kisaikolojia tu. Linamuathiri yule anayeliamini.
Nani amekwambia laana inatoka kwa baba na mama au watu wa karibu tu ?Ndiyo hivyo. Hiyo ni dini kama zilivyo imani za dini. Ni METAPHYSICAL. Na halina logic yoyote. Ingekuwa ipo kweli ni kwa nini itoke kwa wazazi ama watu wa karibu tu wakati maovu umewatendea watu mbali mbali?! Kwa nini ukikosa adabu kwa wengine usilaaniwe?! Hata hilo neno "baraka" ni upuuzi mtupu! Hakuna kitu kama hicho.! Na ndiyo maana hata ukisali kabla ya kula, yaani kukibaliki chakula, kama kina sumu itakuathiri tu na kama kina kipindupindu utaugua tu.
Kiongozi umewahi kukutana barabarani au mtaani na mtu aliyelaaniwa?! Ulimtambuaje?!Laana ipo mzee kama unabisha jaribu uone.Laana ni adhabu apeyo mtu baada ya kudhulumu nafsi ya mwenzie yaani kumfanyia ubaya au kumkosea Allah.
Kuna laana itokayo moja kwa moja kwa Allah kama vile laana aliyopewa ibilisi na kuna laana ambayo unakuta mja fulani amemdhulumu mja mwenzake,sasa yule aliyedhulumiwa akamshitakia Mola na kumkabidhi Mola amfanye lolote yule aliyedhulumu.
Na sio laana atakayoomba binadamu imfikie mtu fulani itamfikia lazima iwe ya kweli na huyo awe kweli amedhulumu(amekufanyia jambo baya) la sivyo inakurudia mwenyewe.
Kutokana na uwepo wa jambo hilo yaani laana na jinsi lilivyokuwa zito tumehimizwa sana tujizuie kupeana laana.
Dawa ya laana ni mtu kufanya toba na kukiri makosa yake na anatakiwa kwanza kurudi kwa yule aliyemkosea kama anamjua kisha amtake Mola msamaha na Mola ni mwingi wa kusamehe.
Hkama kitu hukijui mzee.
Sasa mbona unachanganya mada mzee ? Suala ni uwepo wa laana au mpaka nimuone ? Kwa akili ya kawaida mwenyewe jijibu mzee.Sasa utamtambuaje ? Kwa macho huwezi kumtambua suali ni sawa sawa na kuuliza je unaweza kumjua mwanamke aliyeachika kwa kumtazama ? Jibu ni huwezi.Kiongozi umewahi kukutana barabarani au mtaani na mtu aliyelaaniwa?! Ulimtambuaje?!
Maana yangu ni kwamba ili umuone mtu kuwa kalaaniwa, ni lazima watu waseme ndipo nawewe akili yako ielekee huko. Kwani nikilaaniwa napatwa na nini specifically?!Sasa mbona unachanganya mada mzee ? Suala ni uwepo wa laana au mpaka nimuone ? Kwa akili ya kawaida mwenyewe jijibu mzee.Sasa utamtambuaje ? Kwa macho huwezi kumtambua suali ni sawa sawa na kuuliza je unaweza kumjua mwanamke aliyeachika kwa kumtazama ? Jibu ni huwezi.
Haya,unataka kusema nini baada ya hapo ?
Maana yangu ni kwamba ili umuone mtu kuwa kalaaniwa, ni lazima watu waseme ndipo nawewe akili yako ielekee huko. Kwani nikilaaniwa napatwa na nini specifically?!