1.usioe kwa 7bu umechoka kula kwa mama ntilie >>>mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama ntilie jifunze kupika.
2.usioe kwa 7bu umechoka kufua name kupika >>>mke co beki 3 kama umechoka kufua ajiri mtu akufuli.
3.usioe kwa 7bu rafiki zako wameoa>>>mke co mashindano maana hataishi na marafiki zako wala c o zawadi kwa wazazi wako bali we ndiye utakayeishi naye.
4.usioe kwa 7bu wazazi wanakulazimisha maana dada zako wote wameshaolewa .
5.usioe kwa 7bu unataka kufungua kanisa ss unataka mama mchungaji.
6.usioe kwa 7bu mpenzi au mchumba amepata mimba yako.
7.usioe kwa 7bu unataka kumwonyesha msichana aliyekuacha kuwa bado upo juu.
8.usioe kwa kumhurumia msichana uliyenaye ukimwacha atachanganyikiwa.
9.usioe kwa 7bu wazazi wako wanampenda na kumkubali msichana huyo.
10.Kuliko kumuoa msichana kwa kumhurumia na c kumpenda itapelekea kuteseka moyoni maisha yenu yote ni afadhali umwambie ukweli kungali mapema.
11.Kuoa ili kujionyesha kuwa umepiga hatua baada ya kuachwa ni kujikomoa mwenyewe .
Nb:Oa ukiwa na uhakika kuwa huyo ndiye chaguo lako pekee na upo tayari kuishi naye ktk hali zote,ndio mpango wa mungu ktk maisha yako na ndiye unayempenda kwa moyo wako wote.
Karibu