Kuzuka kwa msemo wa kununua views youtube na kushangiliwa na watu ikiwemo wenye akili timamu ni kuonyesha jinsi gani watanzania tuna uwezo finyu wa kufikiri au tunaendeshwa na matukio na mapenzi binafsi bila kufanya uchunguzi na kufikia maamuzi,
KUHUSU KUNUNUA VIEWS,
Hilo jambo halipo na ndio maana tanzania pekee tuna hio kashfa, na hata kama ipo sio kwa kiwango ambacho watanzania tunaaminishwa, YOUTUBE wana mfumo wa kuhakiki views pale video yoyote inapofikia views 300, 301 au 304, so kama kuna mtu ananunua views hicho ndo kiwango pekee unachoweza kununua kwa video baada ya hapo kila view inahakikiwa, tazama video ujuavyo, mara bilioni itakua counted as a single view, na jaribio lolote la kudanganya uangaliwaji wa video litasababishwa kufutwa kwa video husika
Maybe uwe na Ip adress milioni moja(kompyuta au kifaa chochote unachoweza fungua youtube) ili uweze kupata views 1,000,300 au 1,000,304
Katika hali ya kawaida hilo haliwezekani, wazungu sio wajinga
Ufuatao ni mfumo unaohusika kuhesabu views na mbinu ambazo zinaweza kutumika kuongeza views ambazo haziwez kufanya kazi youtube
Views Exceeding 301
The rules change again once your video surpasses 301 views. There is a new algorithm to detect and eliminate fraudulent views. The old refreshing the page method will no longer work. The new algorithm automatically detects and eliminates views from malware and spambots. YouTube’s exact security measures are classified. If YouTube’s security was public, there would likely be bots and viruses developed to hack into it.
It is unclear how YouTube actually audits the view count of videos with over 301 views. If your view count was being tracked from day to day you would potentially notice a fluctuation or freezing of your view count, this could indicate that your views are being validated. If you acquired views fairly, then you have nothing to worry about. However if you used a spambot, malware virus, or bought views from a third party, your views will be deleted and so could your video.
Some signs of a fraudulent view are:
The video is reloaded repeatedlyThe views appear to come from malware virusesThe views come from users known to use spambots on their accountThe video is set to auto-play embedded on a website
WATANZANIA TUACHE KUFIKIRIA KWA KUTUMIA MAT.....
Yemi alade alishawahi kuhusishwa na kashfa Kama hiyo katika nyimbo ya john sasa unavyosema tz tu sio kweli hata davido alishawahi kusema "stop buying views soon they will catch you " sasa sijui alikuwa anamwambia naniKuzuka kwa msemo wa kununua views YouTube na kushangiliwa na watu ikiwemo wenye akili timamu ni kuonyesha jinsi gani watanzania tuna uwezo finyu wa kufikiri au tunaendeshwa na matukio na mapenzi binafsi bila kufanya uchunguzi na kufikia maamuzi.
KUHUSU KUNUNUA VIEWS,
Hilo jambo halipo na ndio maana Tanzania pekee tuna hio kashfa, na hata kama ipo sio kwa kiwango ambacho watanzania tunaaminishwa, YOUTUBE wana mfumo wa kuhakiki views pale video yoyote inapofikia views 300, 301 au 304, so kama kuna mtu ananunua views hicho ndo kiwango pekee unachoweza kununua kwa video baada ya hapo kila view inahakikiwa, tazama video ujuavyo, mara bilioni itakua counted as a single view, na jaribio lolote la kudanganya uangaliwaji wa video litasababishwa kufutwa kwa video husika.
Maybe uwe na Ip adress milioni moja(kompyuta au kifaa chochote unachoweza fungua youtube) ili uweze kupata views 1,000,300 au 1,000,304
Katika hali ya kawaida hilo haliwezekani, wazungu sio wajinga
Ufuatao ni mfumo unaohusika kuhesabu views na mbinu ambazo zinaweza kutumika kuongeza views ambazo haziwezi kufanya kazi YouTube;
Views Exceeding 301
The rules change again once your video surpasses 301 views. There is a new algorithm to detect and eliminate fraudulent views. The old refreshing the page method will no longer work. The new algorithm automatically detects and eliminates views from malware and spambots. YouTube’s exact security measures are classified. If YouTube’s security was public, there would likely be bots and viruses developed to hack into it.
It is unclear how YouTube actually audits the view count of videos with over 301 views. If your view count was being tracked from day to day you would potentially notice a fluctuation or freezing of your view count, this could indicate that your views are being validated. If you acquired views fairly, then you have nothing to worry about. However if you used a spambot, malware virus, or bought views from a third party, your views will be deleted and so could your video.
Some signs of a fraudulent view are:
The video is reloaded repeatedlyThe views appear to come from malware virusesThe views come from users known to use spambots on their accountThe video is set to auto-play embedded on a website
WATANZANIA TUACHE FIKRA POTOFU
Ahsante kumbe hii kitu ipo!fungua YOUTUBE Account and then jisajili na Vevo Ukishamakiza Record tukio lolote lenye kuteka Hisia kwa Jamii Alafu liweke kwenye Account yako ya YouTube.
Baada ya hapo nitafute Inbox nikupe Process za kununua Views .
Kuzuka kwa msemo wa kununua views YouTube na kushangiliwa na watu ikiwemo wenye akili timamu ni kuonyesha jinsi gani watanzania tuna uwezo finyu wa kufikiri au tunaendeshwa na matukio na mapenzi binafsi bila kufanya uchunguzi na kufikia maamuzi.
WATANZANIA TUACHE FIKRA POTOFU
Unaweza saidia kutuasaidia mbinu zinazotumika kununua hzo views, tupe factYemi alade alishawahi kuhusishwa na kashfa Kama hiyo katika nyimbo ya john sasa unavyosema tz tu sio kweli hata davido alishawahi kusema "stop buying views soon they will catch you " sasa sijui alikuwa anamwambia nani
Huo mjadala umeendeshwa na watangazaji na watu ambao kweny jamii tunaamini ni timamu, japo alieanzsha hoja alikua anataka public stunt
Endelea kudanganya wenzako.fungua YOUTUBE Account and then jisajili na Vevo Ukishamakiza Record tukio lolote lenye kuteka Hisia kwa Jamii Alafu liweke kwenye Account yako ya YouTube.
Baada ya hapo nitafute Inbox nikupe Process za kununua Views .
Wazungu wajinga tu.. Hackers wanaiba mabillion itakuwa viewers wa YouTubeAsante kwa huu ufafanuzi mana juz tumebishana sana na jamaa moja nusura tuzichape ngumi kuhusu hili swala la kununua views in real sense hakuna kitu kama hicho wazungu sio wajinga kama tunavyodhani.