Wakwe. Maana kama ni mahari ulishalipa siku nyingi. Sasa wataendelea kutanua kwenye jasho lako wakati binti yao anatunua na mwanaume mwingine. Huwezi kufanya lolote. Lakini ndio imetoka. [/QUOTE
Mwanamalundi ni kujifariji tu kwa maneno, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE, majaribu ni mtaji