ukweli kuhusu KLOROKWIN

- kwa niaba ya majirani zangu walioambukizwa ukimwi kwa bahati mbaya.

- kwa niaba ya wagonjwa wa kwashiakoo east afrika mashariki na kati

- kwa niaba ya mwalimu wangu wa physics ambae hata spelling ya neno physics hawezi kuandika.

-kwa niaba ya vichaa wa milembe ambao wamepata matumaini baada ya kuwepo ufunuo huko loliondo.

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru AD na wote mliohuzuria katika sherehe hii ambayo imeniongezea idadi ya PM

asanteni na mbarikiwe.

DJ tunaomba wimbo wa "mayasa" kabla umeme haujazimwa

hahahaha hahaha! Lol!
 
Kweli huyu kloro...mmmh!
Itabidi niende kwa babu akaimarishe mbavu zangu. Nahisi nazipoteza.
Huyu the finest nae havumi lakini yumo.
Uporoto na hashy nao.....mmmh!
leo nina mzuka wa kukupa neno la Mungu kweli yaani. baadae naomba uniPM tumsifu bwana kwa pamoja
 
hehehe halaf ze finest akilog out nitakuwa na zawadi yako leo. naomba ufanye mazoezi ya kufumba macho kabisa

Jamaa anafuatilia chombo chake balaa,
kila nikijaribu kumPM AD msg zinapitia inbox ya TF
ngoja niombe mwongozo wa MODS.
Tangu lini mtu aka daiveti PM???
 
????

Hujambo lakini Mkuu??

Mkuu salama nipo mzeee, unajua natumia ka sm ka nokia kana matatizo ya button nilitaka kuandika mzee insteady of mr iliyoonekana. Nimehamia Shinyanga kwa ajili ya kazi za kilimo na ufugaji so sipo kwenye computer saaana. Ndio maana napotea hewani.
 
Kamanda nakutahadharisha kutokula mishikaki kuna njema imekamatwa katulisha mishikaki ya paka for 5yrs yu kanti bilivu.
Nilikwambia uwe unaacha kusimama pale mwenge stendi na kula mishikaki iliyowekwa kwenye vijiti vya chelewo ukawa unasema unabana matumizi kumbe mwenzagu unalishwa vibudu:lol::lol:
 
leo nina mzuka wa kukupa neno la Mungu kweli yaani. baadae naomba uniPM tumsifu bwana kwa pamoja

Vidude vya PM vya wadada wote vimefungwa kuanzia sekunde mbili zilizopita.
Unaweza ukaPM wanaume tu
Unaweza ukaPM Nothing4Good na Not Enough
 
Vidude vya PM vya wadada wote vimefungwa kuanzia sekunde mbili zilizopita.
Unaweza ukaPM wanaume tu
Unaweza ukaPM Nothing4Good na Not Enough

shemeji kale ka phd ka uöngo umekapata chuo gani vile?
 
hehehe halaf ze finest akilog out nitakuwa na zawadi yako leo. naomba ufanye mazoezi ya kufumba macho kabisa
Tokea nimejiunga JF sijawahi ku-log out hata siku moja sababu ID yangu ina hatimiliki na iko certified na ISO pia nina mpango wa kuilist ID yangu pale DSE ili muweze kununua shares
 
Hehehe hela ya cafe wakati nafanya kazi cafe?!Alafu Sipiyu hua havai vitu vya watu...bora atembee peku!

Raba zake hazinitoshi
Ona miguu yake, kama minara ya voda
11111111111.jpg
 
Antibiotics CPU kaenda wapi
Hii thread we ndo kamanda
ikiharibiwa
Mimi na wewe tutakula
kwenye sahani mbili tofauti
hahahha lol
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Back
Top Bottom