Ukweli kuhusu Kkoo Derby

Ukweli kuhusu Kkoo Derby

Joined
Dec 29, 2024
Posts
24
Reaction score
25
Tunachotakiwa kujua na kukubali bila kuwa na shaka, ni kwamba mchezo kati ya Simba na Yanga ni moja kati ya Dabi kubwa Afrika.

Hivyo, kufanya jambo lolote kinyume na taratibu kuelekea mchezo ni hatari sana kwa usalama.

Hivyo, ni vema tukubali kuwa vurugu walizoanzisha Yanga kwa kushirikiana na meneja wa uwanja za kuwazuia Simba kufanya mazoezi zingekuwa na madhara makubwa endapo mechi isingeahirishwa.

Bodi ya ligi, Yanga na Simba wakae chini wapange tarehe mpya ya mchezo.
 
Tokea lini Simba ikaenda kufanya mazoezi yao ya mwisho katika uwanja wa Mkapa katika mechi dhidi ya Yanga?
 
Tunachotakiwa kujua na kukubali bila kuwa na shaka, ni kwamba mchezo kati ya Simba na Yanga ni moja kati ya Dabi kubwa Afrika.

Hivyo, kufanya jambo lolote kinyume na taratibu kuelekea mchezo ni hatari sana kwa usalama.

Hivyo, ni vema tukubali kuwa vurugu walizoanzisha Yanga kwa kushirikiana na meneja wa uwanja za kuwazuia Simba kufanya mazoezi zingekuwa na madhara makubwa endapo mechi isingeahirishwa.

Bodi ya ligi, Yanga na Simba wakae chini wapange tarehe mpya ya mchezo.
Kukimbia mechi akimbie simba! Halafu lawama anapelekewa Yanga!

Yaani simba ilipewa muda usiopungua wiki nzima ya kufanya mazoezi, kujiandaa na mchezo! Then kwa kukosa kufanya mazoezi siku ya mwisho ndiyo iwe sababu ya kukimbia mechi! Acheni kuchezea watu akili nyinyi.
 
Kanuni ndugu
 
Tunachotakiwa kujua na kukubali bila kuwa na shaka, ni kwamba mchezo kati ya Simba na Yanga ni moja kati ya Dabi kubwa Afrika.

Hivyo, kufanya jambo lolote kinyume na taratibu kuelekea mchezo ni hatari sana kwa usalama.

Hivyo, ni vema tukubali kuwa vurugu walizoanzisha Yanga kwa kushirikiana na meneja wa uwanja za kuwazuia Simba kufanya mazoezi zingekuwa na madhara makubwa endapo mechi isingeahirishwa.

Bodi ya ligi, Yanga na Simba wakae chini wapange tarehe mpya ya mchezo.
Mnatafuta justification, mngekuja uwanjani pira lingechezwa na hakuna vurugu ingetokea... Hizo ni hisia zako tu
 
Kimsingi tukio lililofanywa na Yanga tayari lilitengeneza hatari ya kiusalama kuelekea mchezo hasa ukizingatia ile ni derby
 
hiyo inaondoka haki yao kikanuni? Yaani wewe kutokutumia haki yako ya kutoa maoni leo inakunyima haki ya kuitumia kesho? Unachomaanisha CCM wakuulize toka lini umeanza kutoa maoni ya kupinga serikali?
Ndio maana tumeona ni mazingira aliyotengeneza Simba kukimbia mechi, vipi hao mabaunsa wanaosemekana ni wa Yanga wameshachukuliwa hatua maana tuliambiwa video za ushahidi upo
 
Kimsingi tukio lililofanywa na Yanga tayari lilitengeneza hatari ya kiusalama kuelekea mchezo hasa ukizingatia ile ni derby
Ushahidi upi uliokufanya uthibitishe na kuhitimisha kuwa ni Yanga wamehusika?
 
Mi utopolo ni mijingaaa...sasa Simba imeshaamua kugoma kucheza kwa sbb ya zile fujo inamaaana mnataka mlazimishe wacheze ilihali mmeleta fyongo...hata kama zamani walikua hawafanyi mazoezi haindoi ukweli kuwa ni takwa la kikanuni timu ngeni ikitaka kufanya mazoezi iruhusiwe ikivunjwa hyo kanuni basi kuna hatua za kuchukuw....na kwa siku ile walitaka kufanya...sasa kama mlishazika majanaba yenu kayafukueni....
 
ona huyu,eti tokea lini,sheria za mpira unazijuawewe?
Yani yanashangaza haya...so kama haifanyagi kuna sheria imesema usipofanya siku ukiamua kufanya mzuiwe....unajua najaribu kufikiria akili zao napata shida kidogo...
 
Wacha waendelee na sinema zetu kama Mzee Karia alivyo Sema
 
Kuahirisha mchezo huo mkubwa bila kuzingatia Kanuni na miongozo ya Ligi ni kosa kubwa zaidi. Zingatia hilo
 
Back
Top Bottom