Ukweli kuhusu JF.

kakaye

Member
Jul 21, 2016
87
63
Mtandao huu nauelezea hivi:
1.kama unataka kuelimika kwa jambo usilolijua,ingia hapa.
2.kama una mbavu laini zisizovumilia kicheko usiingie humu zitavunjika.
3.kama una hasira usiingie humu.
4.kama huna upendo na wana jf badilika.
5.Kama unataka raha usahau ugumu wa maisha ingia hapa
6.kama una wivu na mkeo au mumeo usiingie hapa.
7.ila fanya hivyo umalizapo kazi zako zote.
 
Humu kuna wazee wa kazi wa kutoa bastora mbele ya kamera za waandishi wa habari wengi kweli.
 
Nashukuru mungu kuna mtu aliomba malaika ashuke afunge mitandao ya kijamii nadhani sara zake ziliishia pale juu ya bati.

Asante malaika kutokuja.

Na ikitokea basi funga mitandao yote acha jf na wasap.
 
Nashukuru mungu kuna mtu aliomba malaika ashuke afunge mitandao ya kijamii nadhani sara zake ziliishia pale juu ya bati.

Asante malaika kutokuja.

Na ikitokea basi funga mitandao yote acha jf na wasap.
Afunge Kila kitu aache JF
 
Back
Top Bottom