Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

K.Lyn ni muha na mtanzania mwenye asili ya Hamitic na kijiji ni Kalinzi, kama una wasiwasi kaulize Dr Wilbrod Ntuyabaliwe , baba yake Jacqueline wapo nawajua. Namaliza kwa kusema humu J F kuna Wahutu wengi tu ndio mnaodakia Fulani sio RAIA , kwa sababu ya pua yake, ngozi yake au nywele , ubishi Wa kihutu na kitutsi yarudisheni Rwanda Burundi ,Tanzania si mahala muafaka. Sitachangia tena upuuzi Wa kusema eti K.lyine ana unassaba na na Janeth Kagame . if you argue with a fool , people may not notice the difference .Nimehitimisha kwaherini makaburu Wa Tanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…