Ukweli Kuhusu Ibrahim Lipumba.

Lipumba hamna kitu! uchumi kukariri vitabu bila ya kuyatekeleza yale yalioko ndani ya hivyo vitabu kwa vitendo ni uchafu tuu alimshauri mzee mwinyi wakati akiwa rais serikali ikawa haina hata shilingi. CAF wametumia zaidi ya milion 50 kwa mambo ya kipumbavu kumpokea mtu aliyetoka kwenye presentation yake ya history pambaf
 
kuwa muislamu inataka moyo

vile vibaraghashia vinadumaza akili

R.I.P C.U.F
 

Tatizo letu watanzania tuna kurupuka sana,mfano mdogo ni leta mada ambae amedandia gari kwa mbele,
mkuu unahitaji kusoma maandiko ktk vyombo vya habari tofauti tofauti ili unapoleta mada yako uwe umejiridhisha kwanza,
cha kushangaza wewe umeleta video iliyokuwa ikimwonyesha Lipumba mwishoni mwa mchakato baada ya mambo mengi kupita.

mkuu umekurupuka tena umekurupuka sana na hii inanipa wasiwasi sana juu ya baadhi ya wana JF wasioelewa nini wanakifanya.

wana jf tusome tuache ujinga,mitandao imewekwa ili tupate habari na sio kukurupuka na kulata habari wala huna huakika nazo

naomba wana jf sikilizeni hii kitu ili mjue nini kilimpeleka Prof Lipumba USA

 
Last edited by a moderator:

Tatizo lenu mnakimbia kusoma,hamtaki kupata habari kupitia vyombo tofauti duniani ili mjiridhishe mnakurupuka na kutafuta habari ktk magazeti ya tanzania ambao nao wanatafuta habari kutoka JF kazi ipo

someni habari ktk mitandao watanzania
[video=youtube;yrc9]http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&v=yrc9 m68suSM&NR=1[/video]
 


Vipi kuhusu kushauri UN kuhusu uchumi wa Dunia.... ama kweli sisi ni wabongo !
 
Last edited by a moderator:

umenivunja mbavu kwa kucheka hadi watu wananishangaa nachekea nn. Nimeyapenda maneno ya Kibaki
 

we kilaza kweli

ktk nyekundu hapo,hakutuma maombi kuhudhuria-bali hiyo ni kampuni inayo toa fellewship ktk issue zinazohusu maendeleo ya siasa,alichokifanya Pro Lipumba ni kutuma proposal na wakachaguliwa watu 20 nae akawa ni mmoja wa hao 20 ili sasa kuandaa mchakato mzima ambao wewe umeleta video yake

mimi mnaniuzi sana baadhi ya wana jf hasomi,nyie mnakutupuka tu

nakumbuka hata kuna post hapa ya kutaja watu watatu watakao ingizwa ktk tume ya mchakato wa kukusanya maoni ya katiba mpya,kuonyesha kuwa hamsomi mkakurupuka na kutaja hata wajumbe ambao sheria aliyosaini raisi haiwaruhusu kuwa wajumbe

jamani someni mtakuja kuwa viongozi na mtasaini mikataba feki kwa uvivu wa kusoma
 

wewe ndo lipumba mwnyewe au mwana CCM-B? Ukweli ni kwamba mmeumbuka. Mapokezi yote yalikuwa ni ya nini kuifufua au kuizika CCM-B
 
Kwa mwendo huu safari ya mabadiliko ni bado ni ndefu sana.
Kizazi chenye umri wa miaka 50 tangu uhuru hakiko informed na huu ndiyo mtaji mkubwa wa ccm.
 
Waandishi wetu sii wafuatiliaji wa mambo,wangeweza kumuuliza hili jana alipozungumza nao kisha wana CUF wangejua kuwa juzi wamepoteza muda wao na kujitesa bure juani

pumbavu huyu jamaa mwenye hiyo link ya ned tumempa jana tu na hajui lolote eti anakurupuka tangu amepata prize lipumba takriban mwezi hiyo link aliipost juss leo week ya nne. Mtakufa na roho mbaya lipumba anapendwa. Eti unatujulisha vitu vilivyo wazi mme hangaika ku google jana mpaka mnatuletea historia ya lipumba.
 

Imekuwaje prize ya heshima namna hiyo ilitolewa kwa siri? Au alikuwa ana-deal na uchumi wa secret societies?
 
Kutoka Uprofesa mpaka Udoctor hii imekaaje? Prof. Lipumba amekuwa Dr. Lipumba. Mtoa mada kuwa makini mazee
 
Kama kuna kitu Chadema hawakukitegemea ni mafanikio ya Lipumba na mapokezi makubwa watanzania waliympa! Wanatafuta kila source ili kukandia hawajapata! USHAURI: Kwa kuwa Lipumba alienda safari ya taaluma yake uchumi, bila shaka na Slaa hufanya safari za taaluma yake Upadri, mwandalie mapokezi akirudi VATICAN, tatizo liko wapi?
 

Wanahangaika hapa JF kuichafua CUF, Lipumba yuko juu..

Yule padre wao hajawahi ku-publish paper kwenye journal inayoeleweka..

Angeweza mbona JF pasingetosha ..aisee..magwanda
 
 
Kinachopingwa si umaarufu wa Prof. Lipumba, hapana Prof. Lipumba ni maarufu.
Kinachopingwa si usomi wa Prof. Lipumba, la hasha, usomi wa Prof. hauna shaka.
Kinachopingwa si tendo la kupokewa na CUF, hapana, wanampokea mwenyekiti wao.

Hebu tuangalie hii ripoti;
Kinachopingwa ni sababu inayotolewa na CUF ya kupewa hayo mapokezi.
Kinachopingwa ni uwongo unaotolewa na CUF kuhusu safari ya Prof. Lipumba.
Kinachopingwa ni sifa anayopewa Prof. Lipumba kuhusiana na safari yake hiyo.

Kwanza, hakuna kazi yoyote maalum aliyopewa na Umoja wa Mataifa, huu ni uongo wa kwanza.
Pili, safari yake nchini Marekani haukuwa na uhusiano wowote na uchumi wa dunia, uwongo wa pili.
Tatu, nini lengo la CUF kuudanganya Umma na inapata faida gani kwa kuwadanganya wafuasi wake?

Jibu la swali hili lipo wazi kwa yeyote mwenye mwenye pua anuse, mwenye sikio asikie na mwenye jicho aone!
Tukumbuke pia hata Raisi aliombwa na CUF akampokee shujaa huyu aliyeliletea taifa heshima kubwa!
 
Wenye akili na mitazamo yao waliona hili mapema, wakaonya na kufafanua wakaishia kuitwa majina ya kila aina.
 

Unamaanisha nini? Na ndio maana Wadaktari walikwenda kwa JK na Mapadri kwa vile wao ndio wasiodanganyika? Inahusu nini Vyama na Dini au unamaanisha kuwa kuna Chama makini ambacho hakina hao wala haluwa msikitini? Bila shaka ujumbe umefika lakini inashangaza mnapoambiwa ukweli hujidai kuruka!

 

Na hili la wala haluwa msikitini nalo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…