Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Kuna mengi yamesemwa kumhusu Mwenyekiti wa CUF Mh. Ibrahim Lipumba kutokana na safari yake ya Marekani. Ukweli ni Kwama, Dr. Lipumba alituma maombi kuhudhuria National Endowment For Democracy Jjini Washington DC. Hii ilikuwa ni Luncheon Presentation kuhusu democrasia Tanzania. Mh. Lipumba alitaka kuzungumzia maendeleo ya Tanznia tangu uhuru. Kwa hiyo mimi sioni hiyo mambo ya UN na sherehe kubwa ambayo watanzania na vyombo vya habari vimezusha. Dr. Lipumba alipewa kwa dakika 30 TU yeye kapitiliza kwa lisaa lizima..... Sasa uzushi sijui wachumi 500 , Mchumi aliyebobea, Kuishauri UN........!!!.Kupokewa kwa mbwembwe kote nilidhania ilikuwa na mengine lakini siyo hii presentation yake. Hii ndio video ya Lipumba na Document nzima. Kazi kwenu mchambue pumba na mchele....Lipumba Amezungumzia History......sasa muone Watanzania walivyo tupu kichwani kwa kuzusha.
My Take mungu wa CCM-B alienda kumponda Nkapa na Kumwamgia mkuu wa CCM-A misifa. Sikiza
[video=vimeo;34781996]http://vimeo.com/34781996[/video]
Ukitaka Document Download hapa!
http://www.ned.org/docs/IbrahimLipumba.pdf
My Take mungu wa CCM-B alienda kumponda Nkapa na Kumwamgia mkuu wa CCM-A misifa. Sikiza
[video=vimeo;34781996]http://vimeo.com/34781996[/video]
Ukitaka Document Download hapa!
http://www.ned.org/docs/IbrahimLipumba.pdf