Deka D
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 115
- 62
Habari ndugu wanachama wa jf.
Natumai kuwa kila mtanzania anaifahamu taarifa za account muhimu ya Escrow-tegeta.
Nashukuru kuwa Mh.rais amechukua hatua kwa baadhi ya watumishi wa umma. Mfano prof.tibaijuka tayari hayupo kwenye baraza la mawaziri.
Lengo kuu la kuelezea ukweli kuhusu Escrow account ni kutofautisha pesa za Escrow na Pesa za Ndugu Rugemalila ambae alikuwa ni mmbia wa IPTL ltd.
Rejea taarifa ya mkaguzi wa hesabu za serikali na PCCCB pamoja na kamati ya Bunge nikuwa pesa za account ya Escrow inaviashialia vya pesa ya umma. Lakn pesa ndugu Rugemalila hazikuwa na hata chembe ya kodi au viashialia vya pesa ya umma.
Sasa ukweli ni kuwa pesa zilizo tajwa kuwepo kwenye account ya escrow tegeta ndio zilizochukuliwa kabla ya kesi iliyopo mahakaman kumalizika kwa maana nyingine unaweza kusema zimeibiwa.
Kumbuka kamati ya bunge na report ya CAG na PCCCB wote kwa pamoja waliitaja Bank ya stanbank kama bank ambayo imepitisha pesa Escrow account, lakn kosa kubwa kwa report zote za watajwa hapo juu hawakutaja namba ya account au jina la miliki wa account kwa waliopitisha pesa kwenye Bank ya stanbank. Hilo tu nikosa kubwa kwa mtu alie toa hiyo report ukizingatia Mkuu wa bank ya stanbank tawi la Tanzania alishajiondio kabsa ofisin kutokana na kashfa hii. Mpaka sasa akuna ajue nani alipisha pesa hizo stanbank.
Ata hivyo, watu wengi wanajua pesa zilizo pita Mkomboz Bank lakn ukwel ni kuwa pesa zilizopita Mkomboz bank si za Escrow bali ni za ndugu Rugemalila. Narudia pesa za Escrow account ya tegeta hazikupitia Mkomboz Bank. Bali pesa zilizo pita Stanbank ndio zilizokuwa zimetoka BOT kwenye account ya escrow-tegeta.
Kwa maana hiyo, Report ya Bunge na ya CAG zote zina taarifa hafifu, kwa sababu hazikutaja wahusika kwa majina yao ama kwa account zao walio chota pesa za Escrow halisi. Kumbuka za mkomboz bank sio za Escrow.
Watuhumiwa: waliotajwa wengi ndio walio pokea mgao wa ndugu Rugemalila tu na hizo pesa hazikuwa za umma bali za kampuni ya VIP engineering yenye umiliki wa asilimia 30 tu.
Kwahyo basi. Pesa Escrow zote zilipitia bank ya Stanbank na borrowers au wachotaji wa hizo pesa hawafahamiki.
Kina wahukumu walio pokea pesa za ndugu Rugemalila ni kuwa wengi bado walikuwa ni watumishi wa umma na nilitegea Tume ya utumishi wa umma ingewaita na kuwahoji juu uwalali wao wa kupokea kiasi kikubwa cha pesa bila kutoa jasho.
Kwa hiyo tusitegemee hukumu nyingine zaidi kwa sababu report zote zilikuwa na kasoro juu ya pesa zilizopitia bank ya stanbank.
Tanzania nakupenda nchi yangu.
Ni mimi
Mjukuu wa Bagenda Rugemalila.