Mbonica VJ
Member
- Sep 27, 2012
- 76
- 43
lowasa ni fisadi namba 1Na kashfa ya udokozi ya RICHMOND je?
Acha kutuongopea Monduli shida ya maji ni kubwa sana kuanzia monduli mjini hadi sehemu zingine kama vile Engutoto, dukabovu, loksale, lashaine, makuyuni, nanja n.k. halafu we unasema ametekeleza asilimia mia. Labda ufisadi ndo mia kwa mia.
Na kashfa ya udokozi ya RICHMOND je?