Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,334
- 6,121
Mtoa mada umeishiwa point mpaka unaleta mambo ya Freemasonssiezi nikatema facts 200 humu ndani... nyingine ni physics zaidi, ntngne mpaka video na nyngne mpaka picha ndo utaelewa zaidi...fuata hyo link uangalie just a short video alafu urudi hapa....
Mleta uzi angekuwa karibu ningemzaba vibaoChini ambayo ni wapi???? Mkuu dunia haipo juu ya meza. Nenda kasome kwa vizuri universe! Then urudi hapa kurekebisha ulichoandika.
Una akili Kama mimikinachokufanya uihisi speed ya gari ni vitu vingi kwanza speed yenyew ya gari haipo costant, kuna wakati inaongezeka na kuna wakati inapungua so lazima utaihisi hiyo hali, pia gari inapita kwenye bara bara ambayo sio tulivu kwanza uwepo wa kona kona lazima wewe utazihisi, pia mashimo shimo barabarani yatakufanya uhisi kuwa upo kweny chumba kinachotembea.
Jiulize watu wanasafiri na ndege au meli wanawezaje kutembea ndani ya vyombo hivyo hali ya kuwa vipo kwenye mwendo? ni kwa kuwa vyombo hivyo vinakuwa vimetulia tofauti na magari....
sasa fikiria ukubwa hii dunia, wewe ni kajidude kadogo sana juu ya uso wa dunia yaan kadogo sana so huwez ukahis chochote kutokana na mwendo wa dunia, maana dunia ipo katika constant speed, na hakuna vizuiz vyoyote....
Mbona nikitufe mkuu,siezi nikatema facts 200 humu ndani... nyingine ni physics zaidi, ntngne mpaka video na nyngne mpaka picha ndo utaelewa zaidi...fuata hyo link uangalie just a short video alafu urudi hapa....
maji yamwagike chini?? tarizo lako elimu tu nishagundua.cjasema gravity imeshndwa shikilia maji..... alaf pia water takes its own level,, kama dunia ipo globe maji yangekuwa yanamwagika chini...
Huu ni uongo, stars positions differ every day....If the earth is orbiting the sun at 67,000 miles per hour and at the same time spinning, why for almost 3 months now, been observing the same stars every night sitting in a same position in the sky? If u doubt try it for 4 wks.....
huyu mjumbe hata mimi nimemvulia kofia, hususan kwenye kuelezea kwa kutumia mifano...!wewe jamaa ni Genius, heshima yako mkuu.