Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

Madaktari feki ni wengi sana nchi hii, akiwemo huyo mama. Inabidi sasa tuanze kuanisha nani ni daktari wa ukweli na nani ni feki, hasa kwa wanasiasa wetu. Mtu anaweza kupata hata cheo kikubwa kwa kuaminiwa kuwa ni daktari wa ukweli kumbe hana lolote. Hii pia inachangia kwenye poor performance sehemu mbalimbali.
 
Hizi taarifa kuwa anaishi kwa dada yake huko Tegeta zimekaaje? Ni majungu tu au? Mbona inasemekana ndugu zake wanaogopa kumuacha aishi peke yake eti kikumuanza itakuwa tabu. Siamini kama mtu wa hadhi yake anaweza kukosa makazi yake binafsi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…