Ukweli kuhusu connection!

Ukweli kuhusu connection!

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,880
Habari!
Miaka nenda Miaka Rudi, nimekuwa nikisikia kila kitu Ni connection kuanzia Biashara ajira, Elimu yaani kila kitu kimekuwa ndani ya mikono ya connection!

Licha ya kutokuwa na connection
Kuna baadhi ya watu wananufaika na Fursa mbalimbali Kama bahati tu! (Uwezi kusema una bahati mpaka uipate) tuachane na bahati

Sasa Ndugu zangu, sisi watoto wa masikini ambao wazazi wetu Ni wakulima na wafugaji, Ambao hawana Nafasi Yoyote serikalini na hata kwenye mataasisi binafsi, mbaya Zaidi Hakuna hata Ndugu zetu wenye Nafasi kubwa serikali,

Macho ya yote ya familia yapo kwetu, na hatuna connection.

Hivyo Basi Kama mtu ana ABC za namna ya kupata connection ebu share jinsi ya kutengeneza Network na connection nzuri kabisa kwa ajili ya kujipatia Ajira

Karibuni
 
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa connection zinapatikana kwenye mahoteli makubwa

yeeeeeees
 
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa connection zinapatikana kwenye mahoteli makubwa

Uko niliwahi kwenda nikaambulia gasho,ingawa alikua mtu mzito
Nilitoka speed one twenty
 
Kuna connection moja matata ya Mwana chou wa UDSM inasambaa huko, Kuna connection ya Minah Ally na nyingine kibao ziko hapa, ni wewe na bando lako tu Hot Videos
Mkuu achana hizo! Watu tupo bize na connection za ajira
 
Back
Top Bottom