ukweli kuhusu cbg

Now days wa2 kibao wanapangiwa hizo course bila maneno yeyote, before ndo ilikuwa shida ila kwa sasa ni shwari
 
wakuu naomba msaada wenu mtu anae chukua cbg anaweza kuwa pharmacist? au hata doctor?

Walimu wako wangeweza kukushauri vizur humu wengi tumesoma zamani na mitaala yenu kwa jinsi inavyobadilika unaweza usipate ushauri sahihi kijana
 
Yes,anaweza kabisa, mimi nilisoma CBG MKWAWA HIGH SCHOOL,HIVI SASA NI MEDICAL DOCTOR NA NILISOMA MIAKA MI5 MUHAS.
 
Yes,anaweza kabisa, mimi nilisoma CBG MKWAWA HIGH SCHOOL,HIVI SASA NI MEDICAL DOCTOR NA NILISOMA MIAKA MI5 MUHAS.

Ivi uliwezaje kupata nafasi nakati mi kila nikiulizia na kuangalia Qualification zao naambiwa CBG MUHAS haiwezeka. Tufungue macho.
 
Ivi uliwezaje kupata nafasi nakati mi kila nikiulizia na kuangalia Qualification zao naambiwa CBG MUHAS haiwezeka. Tufungue macho.Mkuu kwani ni lazima usome MUHAS..ukiwa na ufaulu mzuri CBG unasoma udaktari na ufamasia vyuo vingi tu hapa bongo
Na usisahau daktari wa MUHAS na yule wa SAUT Songea hawatofautiani mshahara wa marupurupu

Mazingira ya kazi ni yale yale so usishindwe kusoma zako ukatimiza ndoto zako kisa unataka ukasome Muhimbili
 
Back
Top Bottom