Ukweli Kuhusu Bunge Maalum la Katiba

Ukweli Kuhusu Bunge Maalum la Katiba

Kwanini CCM wasingeipitisha rasimu ya wananchi ,halafu kama wanafikiri yale sio maoni ya wananchi basi wangehamasisha wanachama wao waikatae kwenye kura za maoni?
 
Khaa!! Mibongo mijinga sana kama kila siku unaiambia kuku hutoa maziwa baada ya muda huamini. Nani kasema yale ni maoni ya wananchi?? Watu elfu 17 kweli wawakilishe watu milion 48??? Hata namna walivyopata hao watu haijasemwa wazi. Na kwanini tatizo liwe kwenye mfmo wa serikali ambao hauna maslahi ya moja kwa moja kwa mwananchi?? Lakini mbona pia mwananchi ndiyo muamuzi wa mwisho tena kwa kura?? Duniani watu wanapigania kuungana sisi tunapigania kutengana. Ndiyo akili zetu

Kwa hiyo hoja ya wale 400+ wa CCM ya serikali mbili ndio ya wengi kuliko 17000? Acha kujitoa akili.
 
wananchi hi waliozungumzia muundo wa Muungano ni Asilimia 14%. Na huko Kwa hao waliongelea pia waligawanyika... Pili maoni ya Wananchi yalikuwa yadhibitishwe na mabaraza ya kata/wilaya lakini Tume iliyapuuza... So Tume inawezaje kulamisha maoni wakati Wananchi kupitia Kwa wawakilishi wao ngazi za chini walipuuzwa?

Sheria gani ilisema maoni ya awali ya wananchi YATHIBITISHWE na mabaraza?
 
Kwanini CCM wasingeipitisha rasimu ya wananchi ,halafu kama wanafikiri yale sio maoni ya wananchi basi wangehamasisha wanachama wao waikatae kwenye kura za maoni?

Ni kweli mkuu,inaelekea ccm haijiamini na imekosa watu wazuri wa kukishauri chama,pia ccm inashindwa kujiamini kuirejesha tanganyika kwa kuhisi chama chao kitadidimia.
 
Hatua ya pili Baada ya kukusanya maoni na kupata constitution draft I, ilikuwa nini?

Ilikua ni mijadala kwenye mabaraza. Sio kuthibitisha maoni. Labda kama hujui maana ya neno KUTHIBITISHA.
 
Ilikua ni mijadala kwenye mabaraza. Sio kuthibitisha maoni. Labda kama hujui maana ya neno KUTHIBITISHA.
Sawa bwana ile mijadala ilikuwa merely talk shop au ilikuwa kuachamua draft 1 ya constitution?
 
BMK ni wawkilishi wa wananchi. Wana uhuru wa kuongeza, kuondoa, kurekebisha au kukubalia kama kilivyo kifungu chochote cha rasimu ya Katiba. By the way hivi kwa nini mnang'ang'ania serikali 3 tu.

Unaamka usingizini mkuu?Kanawe uso kwanza kama una matongotongo
 
Kama ndio hivyo tume iliundwa ya nini? wanachotakiwa ni kuboresha rasimu sio kubadili, kuondoa au kuweka sura mpya. Kwa sasa kanuni zimebadilishwa kulipa uwezo bunge kuchakachua maoni ya wananchi, kuna watu wasio na uwezo wa kutafakari bado wanawataka ukawa warejee bungeni wakati kufanya hivyo kutahalalisha uharamia wa ccm ambao ni wengi, haiingiii akilini mtu mzima na....... zake anang'ang'ania ukawa warudi bungeni kweli? mnatumia faida ya watanzania ya kuwa na IQ ndogo kunufaika(anayebisha ndio matokeo ya hiyo hiyo IQ ndogo). sasa hivi vijana wanajadili ligi ya uingereza na mambo ya kijinga wanaacha kujadili katiba, vijana hawa hawajapenda hali hiyo, ni kutokanan na IQ kuwa ndogo wanapenda kuangalia vitendo zaidi hawashughulishi ubongo kutafakari mistari ya kwenye rasimu ya warioba. CHA MJINGA ULIWA NA MWELEVU

html>
<head><title>301 Moved Permanently</title></head>
<body bgcolor="white">
<center><h1>301 Moved Permanently</h1></center>
<hr><center>nginx</center>
</body>
</html>

Aaronjeremiah98@gmail.com
 
Khaa!! Mibongo mijinga sana kama kila siku unaiambia kuku hutoa maziwa baada ya muda huamini. Nani kasema yale ni maoni ya wananchi?? Watu elfu 17 kweli wawakilishe watu milion 48??? Hata namna walivyopata hao watu haijasemwa wazi. Na kwanini tatizo liwe kwenye mfmo wa serikali ambao hauna maslahi ya moja kwa moja kwa mwananchi?? Lakini mbona pia mwananchi ndiyo muamuzi wa mwisho tena kwa kura?? Duniani watu wanapigania kuungana sisi tunapigania kutengana. Ndiyo akili zetu

Sawa kabisa mkuu,lakini je hizo serikali mbili mnazotolea jasho zilitolewa maoni na watu wangapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom