Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Ukweli ni kuwa kazi ya BMK ilikuwa ni kuangalia namna ya kutekeleza maoni ya Watanzania na sio kuyakataa au kuja na rasimu mpya za vyama au vikundi.
Vinginevyo kila chama au kikundi kingepewa kazi ya kukusanya maoni.
Na hakuna chombo duniani chenye uwezo wa kupinga maoni ya wananchi.
Wananchi wamesema wanataka serikali tatu, kazi ya BMK ni kuangalia namna bora ya kutekeleza hilo.
Hii ni kwa kila kamati ya BMK, maana nimeona kamati nyingi zinapinga maoni ya wananchi ikiwamo madaraka ya rais, tunu za taifa, nk