Ukweli kuhusu binadamu na Mungu

Dhumuni la uhai ni kuendeleza uhai.....regeneration
Sasa mie nikifa hapo huo uhai unaendelezwa vp? akizaliwa mtu mwengine huo ni uhai mwengine na si mwendelezo wa uhai wangu. Hapo mwanzo sikuwa na uhai,nikajakuwa na uhai na baadaye ukaondoka huo uhai. Hapo hakuna kiendeleacho.
 
Sasa mie nikifa hapo huo uhai unaendelezwa vp? akizaliwa mtu mwengine huo ni uhai mwengine na si mwendelezo wa uhai wangu. Hapo mwanzo sikuwa na uhai,nikajakuwa na uhai na baadaye ukaondoka huo uhai. Hapo hakuna kiendeleacho.

Brother hujaelewa...maana yake ni kuwa...kama wewe ni nyoka mfano, dhumuni kuu la kuzaliwa aina hiyo ya nyoka (specie) ni kuendeleza aina ya huyo nyoka...unapoona kiumbe chochote duniani....nyuma yake kuna millions ya viumbe kama hicho vilikuwepo na vishakufa...so unapozaliwa ukakua, ukazaa, umetimiza dhumuni la maisha, just wait for ur day and go....but watoto wako wanaendeleza aina ya uhai wa kiumbe hicho....hii formula ipo kwa viumbe vyote duniani no matter ukubwa wake, aina au mfumo wa uzazi, nothing last forever....uwe mti, mnyoo, nzi na binadamu hana utofauti, ni kiumbe tuu na wewe, kila kiumbe kimebeba historia ya kizazi cheki miaka hata 10000 nyuma....simenti tunayojengea ni mabaki ya Wanyama hasa mifupa walioshawahi ishi wakafa....sasa imerundikana hadi inajenga mwamba.....regeneration...is true purpose of life....
 
Unaweza kuwa sahihi, Hiyo regeneration yaweza kuwa purpose of life kwa yule tu aliyetuleta ''MUNGU'(Kama yupo), Ila purpose ya wewe kuwepo ulimwenguni ni kuitafuta furaha yako kwa gharama yoyote ile.

It doesn't matter in whatever we do, at the end of days Tunahitaji Furaha katika Maisha na hilo ndo dhumuni la bin adam.

Hiyo ya kuendeleza uhai yaweza kuwa sababu ama dhumuni la kuwepo ulimwenguni kwa minajili ya aliye tuleta kwa manufaa na Sababu zake Mwenyewe anazozijua yeye.
 
Nakuunga mkono hapo kwenye option ya kuchagua kuja duniani. Mi kweli kabisa kutoka moyoni, sipendi kuwa mnafiki yaani NISINGEKUBALI KUZALIWA.
Sitaki kukufuru kwa maana nauogopa huo moto unaosemwa lakini huu ndio ukweli wangu.
 
Kama kufa ni mwanzo wa maisha mapya, na kuzaliwa ni nini?
 
Vipi kama siamini katika biblia?
basi hoja yako ni dhaifu tena sana...tena huwezi kusema ukweli kati ya Mungu na wanadamu na uache kitabu hicho wanachokitumia...
pili sikukuambia uamini bali niliandika Biblia inamesema ayo ya kuamini na kutoamini ni mambo binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…