Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,067
Wazo lako laweza kua bora zaidi.sitii neno
Sawa huo ni mtazamo wako binafsi, Ila nionavyo mimi Dhumuni la uhai ni kuitafuta hiyo Furaha unayoikataa wewe.Dhumuni la maisha nikutumika na huyo aliyetuweka hapa kwaajili ya mipango yake anayoijua yeye Mwenyewe ..
sio kutafuta furaha Yako wala kumuabudu huyo aliyetuweka "... Kila binaadamu aliyehai yupo hapa kwaajili ya kutumika kama mzalishaji wa binaadamu wengine " na tukifa tunaenda kuendeleza huo uzalishaji ".. ifahamike kuwa tunakula tuna kunywa mwili unapata nishati na madini toka kwenye ardhi na mwisho wa siku ardhi inayahitaji tena hayo madini ili iendelee (ndio maana lazima tufe ) kuwahudumia watu wengine watakao endelea kuwepo na watakao zaliwa ".. Inshort tuna tumika bila ya kujijua "
so sad nimezaliwa bila ruksa yangu " laiti kama pangekuwa na options ya kuulizwa kuhusu kuja duniani nisinge kubali
kwani unapoambiwa na wafia dini kuwa amekuumba ili umuabudu huo sio uonevu mkuu !!? ... halafu kuhusu suala la furaha duniani wanaoipitia furaha ni wachache mnoo" na hiyo furaha ingekuwa na mantik kama pasinge kuwa na kifoSawa huo ni mtazamo wako binafsi, Ila nionavyo mimi Dhumuni la uhai ni kuitafuta hiyo Furaha unayoikataa wewe.
Halafu kuhusu kumtumikia aliyetuleta waweza kuwa sahihi kwa upande mmoja na kwa upande mwingine ukawa unakosea.
Ina semekana(Kwa wanao amini), Wapo viumbe watiifu wanaomtumikia kwa uadilifu na utii wa hali ya juu, Sasa kwanini sisi(Bin adam) tusio waadilifu wala watiifu Tumtumikie yeye aliyetuleta(Kama ulivyopenda atambulike), Huoni anatengeneza mazingira ya kutuonea, Kwa sababu sisi sio wakamilifu, Tunayo mapungufu ya kibin adam.
Nadhani mimi na wewe tuko Upande mmoja.kwani unapoambiwa na wafia dini kuwa amekuumba ili umuabudu huo sio uonevu mkuu !!? ... halafu kuhusu suala la furaha duniani wanaoipitia furaha ni wachache mnoo" na hiyo furaha ingekuwa na mantik kama pasinge kuwa na kifo
bila shaka itakuwa kweliNadhani mimi na wewe tuko Upande mmoja.
Nakwanini Usingependa kuwepo ulimwenguni(Kama kungekua na Chaguo?)bila shaka itakuwa kweli
Dunia imejaa maovu yanayo pelekea kumuweka binaadamu na viumbe wengine mashakani " ... Imagine magonjwa kama Ebola.HIV cancer , achilia mbali vita na milipuko ya volcano " matetemeko ya ardhi vimbunga vya baharini na nchi kavu " vyote hivi vipo kwaajili ya kuzorotesha ustawi wa mwanadamu na viumbe hai wengine ".. na vipi kuhusu suala la kifo annals huwa linawaacha ndugu.jamaa .na marafiki kwenye dimbwi la simanzi kubwa mnooo kiasi ambacho hupelekea wengine nao kujiua kwa sababu tu wameondokewa na watu wao wa karibuNakwanini Usingependa kuwepo ulimwenguni(Kama kungekua na Chaguo?)
Hujawahi kufa mkuu unawezaje kuona kifo ni kikwazo cha furaha?kwani unapoambiwa na wafia dini kuwa amekuumba ili umuabudu huo sio uonevu mkuu !!? ... halafu kuhusu suala la furaha duniani wanaoipitia furaha ni wachache mnoo" na hiyo furaha ingekuwa na mantik kama pasinge kuwa na kifo
Vipi kama siamini katika biblia?huo ukweli kuhusu binadamu na Mungu umeapata wapi? Ni nina alikuhakikishia kwamba ndio ukweli?..Biblia inasema Mungu hautawali huu ulimwengu bali ni Shetani...
Ok, nimekuelewa mkuu Ila mimi nafurahia kuwepo kwenye Dunia iliyojaa changamoto. Na nafikiri kungekua na chaguo la kuja Duniani au kubaki bado ningechagua kujaDunia imejaa maovu yanayo pelekea kumuweka binaadamu na viumbe wengine mashakani " ... Imagine magonjwa kama Ebola.HIV cancer , achilia mbali vita na milipuko ya volcano " matetemeko ya ardhi vimbunga vya baharini na nchi kavu " vyote hivi vipo kwaajili ya kuzorotesha ustawi wa mwanadamu na viumbe hai wengine ".. na vipi kuhusu suala la kifo annals huwa linawaacha ndugu.jamaa .na marafiki kwenye dimbwi la simanzi kubwa mnooo kiasi ambacho hupelekea wengine nao kujiua kwa sababu tu wameondokewa na watu wao wa karibu
kina waachia watu wengi waliobaki wakikulilia " kwa uchungu mkubwa hilo tu latosha kuwa na walakin na kifoHujawahi kufa mkuu unawezaje kuona kifo ni kikwazo cha furaha?
*_Katika kumuelezea huyo 'MUNGU', bin adam akajikuta anatengeneza kiumbe cha hovyo kuwahi kuwepo Ulimwenguni_*if God is all powerful and mighty why would he care whether we worship him or not? why create anything at all? why allow sins? who did he sacrifice his son (Jesus) to? himself? or Satan? why allow so much suffering on earth? why not get rid of Satan at once? why he is not showing up now? I've so many questions and unfortunately the bible rises even more questions instead of providing answers!
Laiti huo uchungu wa kufiwa ungekuwa hauishi basi kweli kifo kingekuwa tatizo ila kiuhalisia huwa tunasahau na kuondokewa na uchungu na maisha yanaendelea.kina waachia watu wengi waliobaki wakikulilia " kwa uchungu mkubwa hilo tu latosha kuwa na walakin na kifo
Dhumuni la maisha nikutumika na huyo aliyetuweka hapa kwaajili ya mipango yake anayoijua yeye Mwenyewe ..
sio kutafuta furaha Yako wala kumuabudu huyo aliyetuweka "... Kila binaadamu aliyehai yupo hapa kwaajili ya kutumika kama mzalishaji wa binaadamu wengine " na tukifa tunaenda kuendeleza huo uzalishaji ".. ifahamike kuwa tunakula tuna kunywa mwili unapata nishati na madini toka kwenye ardhi na mwisho wa siku ardhi inayahitaji tena hayo madini ili iendelee (ndio maana lazima tufe ) kuwahudumia watu wengine watakao endelea kuwepo na watakao zaliwa ".. Inshort tuna tumika bila ya kujijua "
so sad nimezaliwa bila ruksa yangu " laiti kama pangekuwa na options ya kuulizwa kuhusu kuja duniani nisinge kubali