Ukweli kuhusu biashara ya Forex

Mmh nikikumbuka Sina hamu

Hii kitu iliyumbisha mpaka mahusiano yangu na familia
Pole Sana.
Wakomaaji wanaendelea kukomaa nayo...
Kila biashara ina risk zake.
 
Mkuu nafatiliaga coment zako kuhusu mambo mengi sana ikiwemo hili la forex, hv unatoa mafunzo yoyote kuhusu fx?
 
Mkuu nafatiliaga coment zako kuhusu mambo mengi sana ikiwemo hili la forex, hv unatoa mafunzo yoyote kuhusu fx?
Jibu ni ndio na hapana.

Ndio natoa mafunzo iwapo tu
- Una ABCs za forex, Kwa ufupi uwe umesoma na kumaliza hii content hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
- Uwe tayari kufungua real account , Sio demo account.
- Uwe na PC; sababu tutatumia ZOOM &TEAM VIEWER kufanikisha mafunzo, bila ya wewe kuhitaji kusafiri kuja mahala nilipo.
- Uwe tayari kunilipa kiasi cha US $150 sawa na TZS 360,000

Hapana Sitoi mafunzo iwapo tu
- Hauna PC na hujui kutumia PC

Intake kwa 2019 ni kuanzia Tarehe 7, Muda wiki mbili za kujifunza kile ninachotaka mimi ujifunze ili uweze ku_trade kwa kujitegemea, Pia utapewa mwezi mmoja wa unagalizi kuhakikisha unaweza kutumia setup yangu nitakayokupatia kufanya trading.




Kwa kufanya booking nitumie sms kwenye hiyo namba (image ya pili)
 
Mkuu unaweza kunisaidia kujua katika biashara ni faida kiasi gani linapaswa kuwekwa kwenye huduma au bidhaa juu ya gharama za uzalishaji?
Yaani kama gharama zote za uzalishaji wa andazi ni Tsh 100, je niongeze kiasi gani kama faida ?

Au kama unaweza kunipendekezea vitabu vya management na Art of pricing ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…