Hivi tunashindanisha sera au mafuriko kwasababu mafuriko wapo watu wa vyama tofauti jamani.
Kumeletwa uzi humu ndani na mdau mmoja Mr Emmy kuwa Babu Duni kasusa kampeni za Ukawa... Ni wazi kila mtu anajua huo ni uongo wa kutupwa...
Pamoja na kujua kuwa ni uongo nimeona ulazima wa kuleta mafuriko na mvua yaliyoshushwa huko Busanda, Geita na Babu Duni
Yani u makamu wa rais hata hafanani nao kabisa. ujumbe wa nyumba 10 anamfit vzr sana
humfahamu Juma Duni wewe .Yani u makamu wa rais hata hafanani nao kabisa. ujumbe wa nyumba 10 anamfit vzr sana
Yani u makamu wa rais hata hafanani nao kabisa. ujumbe wa nyumba 10 anamfit vzr sana
asante sana mkuu , Mungu ni mwema sana , huyo komando anaona basi !Mjela mjela huyo ndio babu duni kwa wasiomjua huyo amekaa sana jela kwa ajili ya siasa ya znz na ameshindwa kumzika mamaake kwani alikuwa ndani huku mjomba ake salmini amour ndie aliemfunga.
humfahamu Juma Duni wewe .
Yani u makamu wa rais hata hafanani nao kabisa. ujumbe wa nyumba 10 anamfit vzr sana
Yani u makamu wa rais hata hafanani nao kabisa. ujumbe wa nyumba 10 anamfit vzr sana