Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Kumeletwa uzi humu ndani na mdau mmoja Mr Emmy kuwa Babu Duni kasusa kampeni za Ukawa... Ni wazi kila mtu anajua huo ni uongo wa kutupwa...
Pamoja na kujua kuwa ni uongo nimeona ulazima wa kuleta mafuriko na mvua yaliyoshushwa huko Busanda, Geita na Babu Duni
Pamoja na kujua kuwa ni uongo nimeona ulazima wa kuleta mafuriko na mvua yaliyoshushwa huko Busanda, Geita na Babu Duni