UKIMWI si ugonjwa kwa hiyo hakuna tiba. ARV hutumika ati kufisha nguvu za HIV, kirusi kinachodaiwa kuua kinga ya mwili, lakini kuna utata wa kisayansi kwamba ARV ni mojawapo ya sababu za kuua kinga ya mwili.
Nilibahatika kuhudhuria katika mjadala mmoja siku ya leo kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa vijana na katika mjadaka huo alikuwepo mtu mmoja ambae alijinadi kuwa ni doctor na katika mazungumzo yake alisema haya yafuatayo:
*iwapo mtu mwenye maambukizi ya ukimwi ataameza ARV muda mfupi kabla ya kupima,basi virusi havitoonekana katika vipimo kwa wakati huo.
*iwapo mtu atafanya mapenzi na mwenye maambukizi ya ukimwi ambae anatumia dawa,na akawa amemeza dawa hiyo ndani ya muda mfupi kabla ya tendo la ndoa,basi uwezekano wa asie na maambukizi kupata maambukizi huwa ni mdogo sana kwa sababu ARV inacover sehemu kubwa ya kuzuia maambukizi hayo.
je panaukweli wowote hapo ?
hayo yalikuwa nia katika mazungumzo ya kawaida sana ya kukumbusha kuhusu gonjwa hili la ukimwi.
Tatizo ulipokaa ugonjwa wenyewe pabayaaHuu ugonjwa unawapa watu preshaaa
Hatari sana!Tatizo ulipokaa ugonjwa wenyewe pabayaa
Siku hizi inasadikika kuwa ARV hutika kul8sha kuku na kunenepesha. Wale wapenzi wa chips kuku..Sijaelewa hizo picha mbili ulizo ziambatanisha hasa ya kwanza hiyo?
Nilibahatika kuhudhuria katika mjadala mmoja siku ya leo kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa vijana na katika mjadaka huo alikuwepo mtu mmoja ambae alijinadi kuwa ni doctor na katika mazungumzo yake alisema haya yafuatayo:
*iwapo mtu mwenye maambukizi ya ukimwi ataameza ARV muda mfupi kabla ya kupima,basi virusi havitoonekana katika vipimo kwa wakati huo.
*iwapo mtu atafanya mapenzi na mwenye maambukizi ya ukimwi ambae anatumia dawa,na akawa amemeza dawa hiyo ndani ya muda mfupi kabla ya tendo la ndoa,basi uwezekano wa asie na maambukizi kupata maambukizi huwa ni mdogo sana kwa sababu ARV inacover sehemu kubwa ya kuzuia maambukizi hayo.
je panaukweli wowote hapo ?
hayo yalikuwa nia katika mazungumzo ya kawaida sana ya kukumbusha kuhusu gonjwa hili la ukimwi.
Hivi huwa unakaa wapi?[emoji22] [emoji22]Tatizo ulipokaa ugonjwa wenyewe pabayaa
Unao??Huu ugonjwa unawapa watu preshaaa
Anayedai hivyo si mkweli. UKWIMI kama jina lake ni tatizo la kinga hasilia ya mwili. Kilicho na utata, kisayansi, ni kitu gani kinasababisha kinga ya mwili kudhohofika. Wapo wanaodai ni kirusi cha HIV (VVU). Wapo wanaodai HIV hakijagunduliwa kwa sababu hiyo kinga ya mwili hudhoofishwa na mradhi mbalimbali ikiwemo lishe duni, matumizi mabaya ya dawa za kutibu maradhi na madawa za kulevya.Kuna watu wanadai hakuna Ukimwi sijui kama kuna ukweli kuhusu hili
sio wa kitoto mkuuHuu ugonjwa unawapa watu preshaaa
Washenzi sana wazunguuTatizo ulipokaa ugonjwa wenyewe pabayaa
Ni wapi hapo bibie?Tatizo ulipokaa ugonjwa wenyewe pabayaa
Hata mm naanza kuamin hakuna UkimwiKuna watu wanadai hakuna Ukimwi sijui kama kuna ukweli kuhusu hili