Ukweli kuhusu aliens na teknolojia ya malekan

Inasadikika kuwa Kuna eneo moja huko malekani linaitwa b 51.
Eneo hili limekuwa na ulinzi mkali Sana mpaka kufikia hatua ya watu kuhoji je eneo hili Lina nini haswa ndani yake?.ila watu wanahofu kuwa Kuna sili kubwa Sana oliyo jificha. Kwa kuwa na hofu kuwa jesh lol a anga I a marekani linafanya kazi na viumbe waitwao aliens.

Chanzo
Sasa kalibu utoe maoni

ni kweli hao viumbe wapo na wana akili kuzidi binadamu
 
Mkuu nakupa hongera sana kwa kufatilia mambo makubwa. Nilitaka nikukosoe kidogo ila nimegundua unapenda sana kusoma vitu vingi tofauti na jamii nyingi ila kuna utata wa kuwasilisha kwa maandishi.
Sasa jitahidi kitu kimoja, unaposoma uwe unakariri matumizi sahihi ya herufi R na L, utakuwa mzuri.
 
Mtoa mada nadhani alikuwa anawaza upepo wa kisulisuli wakati anawasilisha mada.
 
afu watu wa jf wanakera saana wanajifanya. wajuaji kunavitu vingine kama umeelewa na unaweza kuchangia we changia kama hauwezi pita tu. msifikiri kila mtu anajua kuandika. w__nge nyie mnanikeraga.
 
Mkuu nakupa hongera sana kwa kufatilia mambo makubwa. Nilitaka nikukosoe kidogo ila nimegundua unapenda sana kusoma vitu vingi tofauti na jamii nyingi ila kuna utata wa kuwasilisha kwa maandishi.
Sasa jitahidi kitu kimoja, unaposoma uwe unakariri matumizi sahihi ya herufi R na L, utakuwa mzuri.
yah mkuu upo vizuri watu woote jf wangekuwa hivi ingekuwa poa saana. hata kupost mada unakua huru.
 
Shuleni ulienda kusomea ujinga? malekani ndo nchi gani hii?
Inasadikika kuwa Kuna eneo moja huko malekani linaitwa b 51.
Eneo hili limekuwa na ulinzi mkali Sana mpaka kufikia hatua ya watu kuhoji je eneo hili Lina nini haswa ndani yake?.ila watu wanahofu kuwa Kuna sili kubwa Sana oliyo jificha. Kwa kuwa na hofu kuwa jesh lol a anga I a marekani linafanya kazi na viumbe waitwao aliens.

Chanzo
Sasa kalibu utoe maoni
 
Mkuu nakupa hongera sana kwa kufatilia mambo makubwa. Nilitaka nikukosoe kidogo ila nimegundua unapenda sana kusoma vitu vingi tofauti na jamii nyingi ila kuna utata wa kuwasilisha kwa maandishi.
Sasa jitahidi kitu kimoja, unaposoma uwe unakariri matumizi sahihi ya herufi R na L, utakuwa mzuri.
Ahsante
 
ambao hamna bundles la kufungua hiyo video aliens hawa hapa
1571308211644.png
 
Back
Top Bottom