WW UMEONGEA CHA MAANAUhakiki wanaanza necta then nacte lastly tcu. Halafu yataanza mashirikisho kama baraza la wafamasia, chama cha madaktari, wahasibu, maboharia na walimu ili wahakiki je ni kweli wale ni wanachama wao unaweza kuo aajira itakuwa may be july mwakani
Niliisha waeleza aliyezuia ajira mwenyewe alipiga pushups jukwaani ili kupata uongozi .......vipi nyie mpewe hiv hiv bila jasho.....mwaka huu hadi mumzidi pushups .....haya kazi kwenu....Juzi nilitembelea ofisi ya afisa elimu wa mkoa na kuhuliza lini ajira uwalimu ztatoka,alinijibu kuwa tutegemee mwezi wa kumi na moja au wa kumi na mbili mwanzoni ili watu waripoti mwakani mwezi wakwanza na akaniambia masomo yatakao pewa kipaumbele ni ya sayansi na mathematics na arts ni kiswahili na English ndo yenye upungufu
na mm hivi tuionana na katibu mkuu utumishi Dk Laurian Ndumbalo, alijibu mpka mwishoni mwa mwez wa kumi na mojaJuzi nilitembelea ofisi ya afisa elimu wa mkoa na kuhuliza lini ajira uwalimu ztatoka,alinijibu kuwa tutegemee mwezi wa kumi na moja au wa kumi na mbili mwanzoni ili watu waripoti mwakani mwezi wakwanza na akaniambia masomo yatakao pewa kipaumbele ni ya sayansi na mathematics na arts ni kiswahili na English ndo yenye upungufu
Mkuu Haukudodosa kuusu GPA ambazo zitastahiki kuajiliwa na Serikali maana Prof Ndalichako alisema iliwatoe Product Bora wanaitaji Walimu Bora !!!!Juzi nilitembelea ofisi ya afisa elimu wa mkoa na kuhuliza lini ajira uwalimu ztatoka,alinijibu kuwa tutegemee mwezi wa kumi na moja au wa kumi na mbili mwanzoni ili watu waripoti mwakani mwezi wakwanza na akaniambia masomo yatakao pewa kipaumbele ni ya sayansi na mathematics na arts ni kiswahili na English ndo yenye upungufu
Vp kuhusu uhamisho wa tamisemi mkuu hakugusia chochote?Juzi nilitembelea ofisi ya afisa elimu wa mkoa na kuhuliza lini ajira uwalimu ztatoka,alinijibu kuwa tutegemee mwezi wa kumi na moja au wa kumi na mbili mwanzoni ili watu waripoti mwakani mwezi wakwanza na akaniambia masomo yatakao pewa kipaumbele ni ya sayansi na mathematics na arts ni kiswahili na English ndo yenye upungufu
Vp kuhusu uhamisho wa tamisemi mkuu hakugusia chochote?na mm hivi tuionana na katibu mkuu utumishi Dk Laurian Ndumbalo, alijibu mpka mwishoni mwa mwez wa kumi na moja