Ukweli juu ya waliohudhuria Mkutano wa Lissu USA

Feb 16, 2019
42
150
Nimeamua niiweke mambo wazi kuliko kubaki na Dukuduku tu,
Bwana Albert Anthony ni mkazi wa Texas , ndiyo alikuwa mratibu mkuu wa kukusanya watakaohudhuria mikutano,

Alafu bwana Marandu Thomasi wa Illinois naye akipewa Task hiyo,

Mambo yalikuwa hivi

Kila mtanzania ambaye alijulikana kuwa hapa marekani walimfuata na kumuomba kwa kumshawishi ahudhurie mkutano wa Lissu ,
Na msaidizi wa Lissu akawa anawapa maswali watakayouliza, ambayo pia ameshajipanga kuyajibu ,bahati mbaya asilimia kubwa ya waliohudhuria mkutano huo au mikutano hiyo ni wale ambao hawaeleweki hata maisha yao wanaishije, watu wasio na makwao,

Kuna muda watanzania wamekosa wakaarika kila mweusi haijarishi ni wa Ghana, Ethiopia, au Nigeria ili wajifanye watanzania na kusikiliza tu wasiulize maswali ila wawe wanapiga makofi hata kama hawaelewi kinachosemwa,

Waliojitahid sana kuongea ni wakenya japo kiswahili chao kilikuwa hakieleweki,
Si ushangae mtanzania anasema kakaa marekani miaka 7 tu kashasahau kiswahili?

Mbaya zaid walikuwa wamemuandaa mwanamama mmoja ajifanye ni mwana CCM na avae sare za ccm ndani ya mkutano wa Lissu, alafu wakamwandaa kijana ambaye ni rrafiki yangu , na mama yule alitakiwa kuuliza swali la kumuudhi Tundu Lissu ili kijana mwingine huyu rafiki yangu akiamka kumkabili, hapo Lissu ajifanye kumtetea huyu wa CCM(Regina Temu), ila bahat mbaya haikuwezekana maaana kijana huyo alikuwa anauguza dada yake hospitali hakufika kwahiyo yule mama mwenye nguo za Ccm akaaa kimya,

Nini hasa Lengo la Tundu Lissu na waandaa mikutano hiyo
1.Ionekane watanzania wameguswa sana na yeye na kuhudhuria kwa wingi japo ile idadi haikuwa kubwa pamoja na kuchanganya na waafrika wengine hawakufika 40,
2.Dunia ione kwamba watanzania waishio nje wamemchoka Magufuli, kumbe siyo,

Nawahakikishieni Nia ya Tundu Lissu anaijua mwenyewe,

Tuendelee kumuombea apone kabisa
 
Elice Elly

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
1,275
2,000

Kwahiyo unashaurije baada ya kutoa hilo duku duku lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000

Online followers 90,000 ni nani aliwaratibu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom