Habari za ckukuu wakuu. Kwa muda mrefu nimekuwa mpenzi wa filamu za mpelelezi wa kiingereza James Bond. Kitu nachijiuliza kila cku ni je huyu jamaa alikuwa kweli ni agent wa
#m16 au ni story tu ya kusadikika ambayo watu wameamua kukaa chini na kuandika ili kuburudisha ulimwengu pamoja na kutengeneza hela.
Naomba kujuzwa juu ya hili.