Ukweli huu apa

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Mi mzima!

Ulimwengu huu tunaishi kwa principles no matter what we do! In biologically its called balance of nature.

Ukweli kuhusu nini?
Nowdays kumekuwa na mabishano makali kuhusu pesa na mapenzi hapa MMU.

Ukweli huo ni upi hasa!
This is for boys..
Mwizi akitaka kuiba lazima ili afanukiwe akubaliane na kila kitu kitakachomsibu wakati anaiba ili tu Afanikiwe ..
ukweli ni kwamba ALL BOYS WE ARE THE HUNTERS OF GIRLS ndo maana hata mtu aoe hamu ya kutamani ipo tuuu frim nature

Pleaaase what de damn point?
INPUT + PROCESSING+OUTPUT DATA =COMPUTER
KUTAMANI+KUTONGOZA+KUKUBALIWA+KUHUDUMIA= SEX ..
having children is de aim of sex.
bila hii protocol ur no longer a boy want a TRUE LOVE..
 
Aisee........ Boflo lete ile kamusi.......
 
Last edited by a moderator:
.....having children is de aim of sex..... kwa hili umepotosha....mkisikia Ujauzito tu MNARUKA futi 1000...mwishowe dem anatupa/abort mtoto
 
topic yako haiko straight na logic yako haieleweki
 
Ukweli kuhusu nini? Umezungumzia pesa na mapenzi ukaishia children na sex
 
Mkuu boflo bado tunasubiri kamusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…