Ukweli hukuacha huru

Ukweli hukuacha huru

kimyakitu

Member
Joined
Sep 21, 2025
Posts
7
Reaction score
10
Unajua ukweli ni uhalisia wa kitu,jambo fulani leo hii nashangaa sana Kwa nini tumekua na mitizamo tofauti juu ya jambo ambalo ni FACT wapo wanaotetea na ku decorate na cover-up ili kupindisha ukweli lakini UKWELI UPO na umebaki vilevile,wapo wanaotetea Kwa ujinga na maslahi yao binafsi lakini UKWELI upo dhabiti na hauwezi pindishwa na mtazamo wako au ushawishi ulionao.

Pia kuna watu wanakuambia kila mtu ana mtazamo wake but ukweli hauna tofauti Za kimtizamo au tofauti Za kiuelewa au tofauti Za kielimu Bali UKWELI upo stagnant ,ninachoomba wa Tanzania naelewa kwamba people don’t follow truth they follow strength lakini Kwa tulipofikia tunawajibu wa kuliponya taifa Kwa kuutafuta ukweli halisi na tuka solve matatizo yetu na kujenga taifa moja kuukataa ukweli ni sawa na kutuliza maumivu kwa panaldo bila kutibu ugonjwa,tutaficha ukweli lakini kila kitu chini ya jua kina matokeo yake na mwishowe UKWELI NDIO HUSHINDA .it’s dangerous speak truth when the government is wrong.
 
Elewa hili.

1. Hata kama utaandika mamilioni ya maneno yakutoa ushauri, psychopaths waliopo kwenye serikali ya CCM kamwe hawatakubali kupokea huo ushauri.

2. Pengine watu wengi hawaelewi sana kuhusu hawa wanaojiita viongozi wa serikali. Hawa watu they don’t give a F*CK. Wakusikilize wewe nani?

3. Njia pekee yakuwafanya waelewe somo ni FIRE 🔥

4. Tofauti na hapo unajidanganya na ninakushauri fikiria tena vile unaona unavyofikiri kuhusu the so called viongozi wa Tz.

5. Njia ya uhakika ni kuwapelekea moto kwa njia yoyote ile. Tunafahamu wanapoishi.

6. Kumbuka ni wauaji pia, jilinde muda wote na usiwe mwenyewe mida mibovu.

7. Mwisho wa siku lazima serikali feki itashindwa tu. Kwanza ni serikali masikini mbovu.

8. Asilimia 25% ya wananchi wakishika silaha ninakuhakikishia askari polisi na wanajeshi watakimbia hovyo wakiwa wamevua magwanda.
 
kwa polisi naweza kubali ila wanajeshi hapana.Hao wananchi watakuwa na silaha lakini watakuwa hawana mafunzo ya kivita.
Mfalme Daudi alikuwa na jeshi la watu 30 lakini walikuwa wanapigana na wafilisti 400 wenye silaha na kuwashinda.
 
Back
Top Bottom