Ukweli halisi kuhusu nguvu za kiume

Emmanuel nemes

JF-Expert Member
Nov 20, 2016
891
652
Hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaojiita wataalamu wanaotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, na pia yameibuka madawa kadha wa kadha ambapo vijana wengi wameishia kutapeliwa.

kiujumla nguvu za kiume its all about your brain, yaani mfumo mzima wa akili kwa ujumla, cha muhim kama ww unasimamisha na unaejaculate basi kwa namna yoyote ile huwezi kujiita kuwa unaupungufu wa nguvu bali una psychology or HYPOTHALAMUS problem. Nitarudi tena kuelezea kwa kina mechanism ya kudeal nayo.
Nawasilisha.
 
Naunga Mkono Hoja!utakuta mtu anatumia mundende Sijui....Mara electro nini wengine wanaita lampard....lkn kikubwa ni ubongo wako ukatavyoiseti tu....
Mfano tu wakati Una sex alafu unapigiwa sim ukambiwa gari au fedha zako zimeibiwa hapo Lazima chumu kisifanye kazi....
Hata Ukiwa na frastruation Kwa hali hiyo huwezi kugegeda...so Lazima ubongo wako uwe sawa na tulivu

Ova
 
Elezea sasa kama we mjuaji
 
Dr, tafadhari naomba unifafanulie kidogo hapo., huo Ugonjwa wa upungufu wa Nguvu za Kiume unatofautiana na huo wa Viba100?
 
Ndugu yangu, ni ukweli uliowazi kuwa kinachaadhiri vijana ni utandawazi, kile wanachokiona kwenye video za ngono wakijifananisha na maumbile yao basi psychological wanajenga mtazamo kuwa mbona mm siko hvi? Wapo wanaosema kuwa uke unakuwa mkubwa kwa kutumika sana HAPANA kumbuke ule ni lastic ambayo hurudi ktk uhalisia wake, vibamia na upungufu wa nguvu ni HYPOTHALAMUS Problem.
 
Naunga Mkono Hoja!utakuta mtu anatumia mundende Sijui....Mara electro nini wengine wanaita lampard....lkn kikubwa ni ubongo wako ukatavyoiseti tu....
Mfano tu wakati Una sex alafu unapigiwa sim ukambiwa gari au fedha zako zimeibiwa hapo Lazima chumu kisifanye kazi....
Hata Ukiwa na frastruation Kwa hali hiyo huwezi kugegeda...so Lazima ubongo wako uwe sawa na tulivu

Ova
....Ongeza na msosi wa mkoani.
 
Kweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.
 
Jambo kubwa kuliko yote, ufahamu kwanza mfumo mzima na mechanism nzima ya uume kusimama na namna ejaculation inavyotokea, na sio kukimbilia tuu kutafuta sijui vumbi la kongo, viagra, sijui mchuz wa pweza na kubugia bugia tuu bila ata kujua mfumo mzima wa hcho unachotaka kisimame upoje,
 
Kweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.
Leta mkuu tupe vitu adimu.....maana huku uraiani watu wanalishwa mpaka randa za mgao zimesagwa wanambiwa dawa

Ova
 
We wadanganye wenzako tu mtu unashindia chips yai, au burgers halafu iyo afya njema itoke wapi mavyakula yamechachuliwa vile vya asili tunavyiona vya kishamba, yaani umwambie mtu achague kati chai mkataba au mihogo anachagua mkate, wakati imejaa chemicals kibao.
 
Linakuja wakuu musijali, kuna majukumu kdg nayaweka sawa nitakuja fully msijali, wanaoponda na kuniona msanii kama hyo rafiki yangu hapo juu msijali, muhim tuelimishane, ni vyema pia kushare what you hve kuliko ku criticize.
 
Hii imenigusa sana baada ya kuona wimbi kubwa la vijana wenzangu wakilalama kwa hili jambo pamoja na kuongezeka kwa matapeli kwenye hii sector. Binafsi ni dr ambae nipo tumbi for internship kama sehem ya mafunzo ya kumalizia course yangu ya udaktari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom