Ukwel kwenye mapenzi

We na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuuza moyo wako.

Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
watu wengine mnajifanyaga, sasa hajakua kwan we una miaka 1000
 
Sasa ukweli wake una faida gani mkuu.

Angalau angekuja na suluhu kwamba mpenzi wangu kaniambia hivi nimechukua maamuzi haya nadhani tungeona ametuandikia kitu chenye faida kidogo.
Bado anampenda huyo.....na hawezi muacha...mwanaume wa kweli hata huulizi mara mbili...kwa case kama hiyo
 
Back
Top Bottom